BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
- Thread starter
- #61
We mjinya sio kucopy hizo ni specific kwa Kenya ni juhudi zao,Vipi nafasi za kazi walizo pewa na Ujerumani au Uingereza?Kwa hivyo unataka Ridhiwani nae aende kwenye employment websites na kukopi ajira ambazo zinazotangazwa huko duniani na kuzinadi kwenye page yake.
kibarua cha waziri wa ajira ni kutetea maslahi ya wafanyakazi au ni ku-promote kazi za nje ya nchi?
Mwenye jukumu la kutengeza ajira nchini ni waziri wa uchumi au waziri wa ajira?
Kisa Kenya wana waziri ambae ni overambitious unataka na Ridhwani a-copy huo upuuzi.
Hilo ni tatizo la wizara ya elimu kwenye kuwafundisha watu namna ya kufanya job search au ni tatizo la wizara ya ajira?
I don’t know hii nchi itachomoka vipi kwakweli, a majority of leaders and citizens are clueless to how the world works.
Yaani waziri ana-post upuuzi kwenye page yake, you actually think that is something worth of emulating.
Sisemi kama Ridhwani ni mtu wa maana (he is incompetent, that’s a fact) lakini ana rationale ya maamuzi kwa sababu ya input ya baba yake (he is diplomatic, rejea sakata, la mgogoro wa ardhi Simamjiro) badała ya kukurupuka alitaka kusikia pande mbili za mgogoro kwanza. Hapo ndio unaona input ya baba yake kwenye uongozi.
Nonetheless surely kama waziri wa ajira ana majukumu mengi ya ndani ambayo hana uwezo nayo kwa siasa za nepotism. Lakini anachofanya huyo waziri wa Kenya ni swala la wizara ya elimu kuwafundisha wanafunzi wao on job search.
Huwezi mlaumu Ridhiwani kuto-post ujinga kwenye page yake. Mambo mengine unatakiwa ujiongeze mwenyewe. Unless wahusika wakuletee advert ya nafasi za kazi kwao. Sasa inawezekena Kenya wanatumiwa sisi atutumiwi ndio maana waziri wao ana wajibu kutangaza.
Punguza ujinga mkuu,