Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huku chawa akitoa ushuhuda kupewa pikipiki imeandikwa SSHView attachment 3179985
Mkenya akitoa ushuhuda wake kapata Kazi Saudia Arabia
Bei Facebook anmelden
Melde dich bei Facebook an, um dich mit deinen Freunden, deiner Familie und Personen, die du kennst, zu verbinden und Inhalte zu teilen.www.facebook.com
Bila kuitoa CCM madarakani maendeleo ni ndoto mkuu, kile chama kimejaa watu wajinga snMpaka mbadilishe ile rangi nyeusi kwenye bendera ndio mtapata akili mpya.
Huu ndo ukweli watz hawawezi chochote labda Burundi ,Congo n.k.Unataka kusema Viongozi wanashindwa kuwatafufia watu Ajira sababu ya watanzania hawajui English?
Ukichoandika Kina mtazamo tofauti kwa Kila msomaji
Pia uzuzu wa simba na yanga.Bila kuitoa CCM madarakani maendeleo ni ndoto mkuu, kile chama kimejaa watu wajinga sn
Hii Aibu ulichoandikaHuu ndo ukweli watz hawawezi chochote labda Burundi ,Congo n.k.
Hatuwezi kupata watu wenye akili hata dak mmojaPia uzuzu wa simba na yanga.
Mkienda majuu mtashindwa kazi jifunzeni kizungu kwanzaHii Aibu ulichoandika
Ubunifu unaishia kwenye kumsifia maza, baada ya hapo utatenguliwa haraka sn.Nimeumia sana, sasa bahati mbaya apatikanae mtu mwenye akili...utashi....na udhubutu wa kutenda tofaut akawekwa katika Wizara zetu, ni week moja tu katenguliwa.
Wazri kwa sasa kwenyr nfas yako Unatakiwa uwe kama haupo, au kuwa busy na kuanzisha program za baba sijasema mama.
Waarabu wanaongea kiingereza?Mkienda majuu mtashindwa kazi jifunzeni kizungu kwanza
Nimeumia sana, sasa bahati mbaya apatikanae mtu mwenye akili...utashi....na udhubutu wa kutenda tofaut akawekwa katika Wizara zetu, ni week moja tu katenguliwa.
Wazri kwa sasa kwenyr nfas yako Unatakiwa uwe kama haupo, au kuwa busy na kuanzisha program za baba sijasema mama.
Hakika MTU hajui kiingereza ataendaje majuu kirahisi Elimu ya sisiemu ina andaa mazuzu.Hatuwezi kupata watu wenye akili hata dak mmoja
Huku kwetu wanatafutiwa bodaboda na kuitwa maafisa usafirishajiView attachment 3179990
Wakenya wakifurafia kutafutiaa Kazi waziri akiwaaga Airport vijana aliowatafutia Kazi kwenda Nje ya Nchi
View attachment 3179991
CCM wanasomesha watoto wao njeHakika MTU hajui kiingereza ataendaje majuu kirahisi Elimu ya sisiemu ina andaa mazuzu.
Nimelia zaidiInawezekana nazungumza na mtu ambaye hujawai kuzunguka Nchi za ulaya, Asia hicho nachozungumza Nina uhakika nacho balozi polepole alianza kutafutia watu fursa huko Cuba wanaanza kumuundia zengwe blah blah kibao
Tukubali tu kuwa wakenya kwenye mambo ya fursa wapo mbele Sana.
Ridhiwan rafiki yangu simlaumu sana maana ni mgeni katika wizara hii au wakati mwingine mambo hufanyika kwa kuangalia Rais aliepo anatakaje
Hao wanaoenda Nchi za ulaya na sehemu mbalimbali za Africa ipo siku watarudi na kuendeleza ujuzi katika nchi zao.
Ukiwa Qatar, Doha au maeneo mbalimbali ya viwanja vya ndege katika nchi zilipo katika UAE unakutana na wakenya wengi sanaaa.
Nje ya mada: Tanzania ni nchi ya amani kama inavyonadiwa Kila siku Ina mahusiamo mazuri na nchi nyingi hapa duniani diplomasia yake imara lakini kenya imeshatupiga bao Sana wao wanaoenda VISA inayoisha miaka 5 ikiwa wataenda marekani sisi pale embassy USA visa ni ya mwaka Mmoja ilikua ni ya miezi ila Sasa ni Mwaka.
Wakenya wanasambaa duniani Sana katika fursa
Ukiona WA bongo wapo nje ya nchi aslimian98% wamepambana wao kama wao kufika hapo kuanzia Passport, VISA n.k
Usishangas siku Moja fursa zikitokea Amsterdam waziri wao akawapa shavu
Waarabu wapo well of na wanajua lugha mbalimbali ikiwemo kiarabu Chao , unataka kuwalinganisha na sisiemu?Waarabu wanaongea kiingereza?
Yes mkuu na watoto wao wanaajiriwa nje kirahisCCM wanasomesha watoto wao nje
Mkienda majuu mtashindwa kazi jifunzeni kizungu kwanza
Nyie mnajifananisha na wachina ambao wamewazidi akili na uchumiUnachozungumza sio kweli na ni kweli baadhi ya sehemu.. English inayohitajija ni Basic maana utajifunza wachina wengi wafilipino mexico wengi huku ulaya, au USA Wengi wao English hawajui sanaa ila wanajifunza .. tusiweke mambo kuwa magumu Kila kitu kinafundishika nilitamani sana watanzania wasambae duniani kutafuta fursa na sio kweli kwamba watanzania hawajui kiingereza cha kufanya kazi