Inawezekana nazungumza na mtu ambaye hujawai kuzunguka Nchi za ulaya, Asia hicho nachozungumza Nina uhakika nacho balozi polepole alianza kutafutia watu fursa huko Cuba wanaanza kumuundia zengwe blah blah kibao
Tukubali tu kuwa wakenya kwenye mambo ya fursa wapo mbele Sana.
Ridhiwan rafiki yangu simlaumu sana maana ni mgeni katika wizara hii au wakati mwingine mambo hufanyika kwa kuangalia Rais aliepo anatakaje
Hao wanaoenda Nchi za ulaya na sehemu mbalimbali za Africa ipo siku watarudi na kuendeleza ujuzi katika nchi zao.
Ukiwa Qatar, Doha au maeneo mbalimbali ya viwanja vya ndege katika nchi zilipo katika UAE unakutana na wakenya wengi sanaaa.
Nje ya mada: Tanzania ni nchi ya amani kama inavyonadiwa Kila siku Ina mahusiamo mazuri na nchi nyingi hapa duniani diplomasia yake imara lakini kenya imeshatupiga bao Sana wao wanaoenda VISA inayoisha miaka 5 ikiwa wataenda marekani sisi pale embassy USA visa ni ya mwaka Mmoja ilikua ni ya miezi ila Sasa ni Mwaka.
Wakenya wanasambaa duniani Sana katika fursa
Ukiona WA bongo wapo nje ya nchi aslimian98% wamepambana wao kama wao kufika hapo kuanzia Passport, VISA n.k
Usishangas siku Moja fursa zikitokea Amsterdam waziri wao akawapa shavu