Akaunti ya Facebook ya Alfred Mutua, Waziri wa Ajira Kenya imejaa post za nafasi za kazi kwa Wakenya nje. Pitia ya Riziwani ujionee

Akaunti ya Facebook ya Alfred Mutua, Waziri wa Ajira Kenya imejaa post za nafasi za kazi kwa Wakenya nje. Pitia ya Riziwani ujionee

Unataka kusema Viongozi wanashindwa kuwatafufia watu Ajira sababu ya watanzania hawajui English?

Ukichoandika Kina mtazamo tofauti kwa Kila msomaji
Huu ndo ukweli watz hawawezi chochote labda Burundi ,Congo n.k.
 
Nimeumia sana, sasa bahati mbaya apatikanae mtu mwenye akili...utashi....na udhubutu wa kutenda tofaut akawekwa katika Wizara zetu, ni week moja tu katenguliwa.

Wazri kwa sasa kwenyr nfas yako Unatakiwa uwe kama haupo, au kuwa busy na kuanzisha program za baba sijasema mama.
 
Ubunifu unaishia kwenye kumsifia maza, baada ya hapo utatenguliwa haraka sn.
 
Nimeumia sana, sasa bahati mbaya apatikanae mtu mwenye akili...utashi....na udhubutu wa kutenda tofaut akawekwa katika Wizara zetu, ni week moja tu katenguliwa.

Wazri kwa sasa kwenyr nfas yako Unatakiwa uwe kama haupo, au kuwa busy na kuanzisha program za baba sijasema mama.

Wakenya wakifurafia kutafutiaa Kazi waziri akiwaaga Airport vijana aliowatafutia Kazi kwenda Nje ya Nchi

Screenshot_20241219-054411.png
 
Inawezekana nazungumza na mtu ambaye hujawai kuzunguka Nchi za ulaya, Asia hicho nachozungumza Nina uhakika nacho balozi polepole alianza kutafutia watu fursa huko Cuba wanaanza kumuundia zengwe blah blah kibao

Tukubali tu kuwa wakenya kwenye mambo ya fursa wapo mbele Sana.

Ridhiwan rafiki yangu simlaumu sana maana ni mgeni katika wizara hii au wakati mwingine mambo hufanyika kwa kuangalia Rais aliepo anatakaje

Hao wanaoenda Nchi za ulaya na sehemu mbalimbali za Africa ipo siku watarudi na kuendeleza ujuzi katika nchi zao.

Ukiwa Qatar, Doha au maeneo mbalimbali ya viwanja vya ndege katika nchi zilipo katika UAE unakutana na wakenya wengi sanaaa.

Nje ya mada: Tanzania ni nchi ya amani kama inavyonadiwa Kila siku Ina mahusiamo mazuri na nchi nyingi hapa duniani diplomasia yake imara lakini kenya imeshatupiga bao Sana wao wanaoenda VISA inayoisha miaka 5 ikiwa wataenda marekani sisi pale embassy USA visa ni ya mwaka Mmoja ilikua ni ya miezi ila Sasa ni Mwaka.

Wakenya wanasambaa duniani Sana katika fursa

Ukiona WA bongo wapo nje ya nchi aslimian98% wamepambana wao kama wao kufika hapo kuanzia Passport, VISA n.k

Usishangas siku Moja fursa zikitokea Amsterdam waziri wao akawapa shavu
Nimelia zaidi
 
Mkienda majuu mtashindwa kazi jifunzeni kizungu kwanza

Unachozungumza sio kweli na ni kweli baadhi ya sehemu.. English inayohitajija ni Basic maana utajifunza wachina wengi wafilipino mexico wengi huku ulaya, au USA Wengi wao English hawajui sanaa ila wanajifunza .. tusiweke mambo kuwa magumu Kila kitu kinafundishika nilitamani sana watanzania wasambae duniani kutafuta fursa na sio kweli kwamba watanzania hawajui kiingereza cha kufanya kazi
 
Nyie mnajifananisha na wachina ambao wamewazidi akili na uchumi

Nyie jifananisheni na Burundi , Kenya n
N.k nchi za dunia ya 03
 
Back
Top Bottom