Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
mbe na wewe ni wasiojulikana kama muro hahahaKwahiyo umeambiwa kuwa GENTAMYCINE ndiyo Israeli Mtoa Roho? Mkuu hebu nitake radhi upesi sana kabla ' Mashetani ' yangu na ' Mizimu ' yangu haijanipanda halafu ' pakachafuka ' humu sasa hivi sawa?
Ndio.Mimi sijasema ni kajitu wala jitu nimeuliza mnamjua?
Huyo baadae anarudi mtaniambia cz sio mara yake ya kwanza kupotea hivyo
Ulitoa povu sana mkuuiPhone 8,Bwana ila nasikia karudi
Kwani hiyo issue ya cm ilikuwaje mm ilinipita kidogo hebu nikumbushe mpendwaWale waliokuwa wanamtumia information si watajulikama kama mtego ni simu?
Ila leo umejidhihirisha hapa JF wewe ni mwanga tu.iPhone 8,Bwana ila nasikia karudi
Ule mtego shauri yenu,nyie mtumieni tu na hide my ID mtakiona cha mtema kuni.Account ya mange imerudi mda huu Mange Kimambi (@mangekimambi_) • Instagram photos and videos
kuliwa denge nini?
sasa si anatafungua tu account nyingine au nayo watafuta.na akiamua si anaweza kuwa na account hata 100 au haiwezekaniMange page yake imefutwa kiufundi,alitumiwa simu akajuwa zawadi kumbe mtego.
Tunaweza kuishi bila Mange ila hatuwezi kamwe kuishi bila binti Inna!![emoji1][emoji1][emoji1]Sasa tutaishije bila da Mange?
Aibu yao, kiko wapi sasa? Kuna mijitu na akili zao ilikuwa inakatika mauno hapa sasa wote wameumbuka.Account ya mange imerudi mda huu Mange Kimambi (@mangekimambi_) • Instagram photos and videos