Akiwa ni mwenye akili atatafakari kwa kina kuwa her dayz are numberedKwani akifungiwa Instagram account ndiyo amekufa??
Si atafungua accounts zingine nyingi tu?
Atawasiliana na Insta au atakwenda ofisini kwao watamwekea ulinzi MACCM yasimvamie tenaIla ile account siyo salama tena.
Sasa mbona karudiNdio.
Unapokuwa na followers wengi ndivyo habari zako pamoja na propaganda zako za kuiadhibu serekali zinavyofikia wengi!Unalipwa shilling ngapi kwa kila aliyekufollow?
Alikuwa na followers milion karibia mbili,ni pigo sana kwake,tulimpenda ila Iphone 8 imempenda zaidi.Wale wa hide my name mjiandae.Astagallafullah.[/QUOTE
Kwa hiyo?Sasa mbona karudi
Amanii eh wakuu account ya mange kimambi haipo tena insta... Ishara zilianza tokea juzi watu walivoanza kusema huyu sio mange baada ya vitu vya ajabu kutokea kwenye ile account hatimae na mchana huu account yake haipo tena instagram sijui dada wa watu atakuwa kapatwa na nini, uthibitisho huu chini
View attachment 610509
JiharishieKwa hiyo?
Kama ni kweli atakua ameokoa wengialisema juzi kuwa yyeye ni akili kubwa kila siku kabla ya kulala anafuta kila kitu
iphone 8 iwe hacked unacheza weweeeeThis time harudi na akirudi arudi kwa device nyingine,akitumia ile iphone 8 alopewa zawadi ni kazi bure.Nimeamini Mange hana akili ya kufikiria kabisa.
Ha ha ha.Jiharishie