Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Status
Not open for further replies.

Jipe moyo na endelea ' Kujidanganya ' hivyo hivyo na ' Kuwadanganya ' wale ' Mapopoma ' wa Masuala ya Kimafia na System ila kwa wenye ' akili ' tayari tumeshaanza kunusa ' danger ' hapo na nimesema kama hata Yeye ni ' mjanja ' kwa sasa ' auchune ' kwani ' upepo ' si mzuri Kwake sasa. Ushauri wangu ni huo tu tafadhali.
 
ha ha ha ha ha ha system bwana wameisha m fix hawa jamaa hawashindwagi jambo
 
Mi nkajua wamempata kumbe wamefungia account!!!! Yule tayari ni maarufu akifungua nyengine atapata watu kibao
 
This time harudi na akirudi arudi kwa device nyingine,akitumia ile iphone 8 alopewa zawadi ni kazi bure.Nimeamini Mange hana akili ya kufikiria kabisa.
kumbe hana uwezo hata wakununua device nyingine duh .device gharama sana
 
Acha ujinga wewe, hakuna mtu serious wa Taasisi ile nyeti anazurura mitandaoni kutisha watu hivi, you are nothing , just a merely dog looking for the bones, acha kutisha watu wazima wenzio kishamba.

Halafu kwajinsi mlivyo na akili nyepesi mnashangilia eti account haipo kwani kurudisha account inahitaji Us dollars ngapi? Au Visa? Halafu hamjiulizi anaweza kuidiactive mwenyewe tu simple. Am not her fun ila nimefikiri mnaofurahia hii issue mkapimwe akili.
 
Tatizo unajifanya unajua
Ya TL cjuh yalishia wap
 
Mimi nikiingia insta nakutana na account zake zaidi ya tano!![emoji116]
 

Attachments

  • IMG_20171016_145632_170.JPG
    32.9 KB · Views: 31
Mimi nampenda sana Mange,tatizo ukikomenti right kabisa ila sivyo anavyotaka yeye anakublock.Kuna habari za ukweli na za uongo pia huwa anapost.Ila mwisho wake umefika.
Umefika vipi? Kwakuwa anamchukia mtu tunayempenda na kumtukana rais wetu matusi ndio tuutake mwisho wake?
 
hahahshahahaaha,kumbe amezoea kuhongwa,hahaha hahaha hahaha usawa huu wa magufuli lazima utumike.
hahah hahahha
 
karudi...ingekuwa yuko tz insingerudi lakini aliko haichukui saa moja kuirudikisha
Ile account haipo salama,to be honest kama na wewe ni mmoja wa wale wa hide my ID jiandae.
 
Mbona ipo hewani, nimeona kuna post ya 2 hrs ago. Wana JF tuwe watu wa kutafuta fact kwanza.
Lilikuwa jambo dogo la kucheck Instagram kuprove. Watu walivyokuwa wanatiririka [emoji23][emoji23][emoji23].
Imerudi sahivi
 
Mange anatikisa Tanzania. Yani ac yake imepotea hewani kwa saa moja na kurudi tayari imekua news ya kubamba headlines
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…