Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Status
Not open for further replies.
Kuna mijitu ipo humu inazungumza utadhani inajua kitu wakati kichwani wamekaa wakina bashite Mia...
Acheni upuuzi wanaojua wametulia wanaangalia kwa dharau sana!
 
Kina nani mkuu waliobobea? Jinga kweli wewe!! Umesoma uandishi wa habari IT wewe ni kilaza so shut up!!!!!!!

Kazi imeshamalizwa mapema sana na akijipendekeza tu kurudi ndiyo ' Wanamume ' wanamaliza kabisa shughuli. Mwambieni kwa sasa ' auchune ' kwani upepo wa bahari umekuwa ni mkali kama ule wa Kusi.
 
Wewe n ngumbaru tu
 
I don't think kama kuna mtu anaweza kufuta account ya mtu mwingine technique ni kuhack afu unaenda kwny remove/delete account
 
Mimi nampenda sana Mange,tatizo ukikomenti right kabisa ila sivyo anavyotaka yeye anakublock.Kuna habari za ukweli na za uongo pia huwa anapost.Ila mwisho wake umefika.
mwisho wapi wewe yupo hewani halafu acc za insta mimi kwenye simu yangu ninazo 6
 
aibu yako, Mange yupo hewani kama kawaida, ingia sasa uone
 
Bashite kahusika asilimia ngapi hapa, maana nasikiaga anaweza sana mambo ya kijasusi na ugaidi.
 
hajifanyi mkuu yule ana akili nyingi kufunga account yake sio kufunga kinywa chake wala upeo wake mkuu.over

Kuna wenye ' akili ' nyingi, mbinu na mikakati ya kuwashinda Mafia na System Mkuu? Hivi lakini unakijua unachokiongea au na Wewe upo humu ' Kupayuka / Kuzoza ' tu?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…