Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Status
Not open for further replies.
Yes. Inaweza kuwa kweli maana ameanza kubadili namba za simu za whatups. Lakini kufunga na kufungua account kwenye mitandao ya kijamii ni raisi mno. watu wana account zaidi ya moja leo anafungua hii kesho ile. the old is gone the new is come.
Hapa kuna wenzio (watumishi wa umma) walokuwa wakijiassociate naye wanapumulia mashine huko waliko, wale wa please hide my ID mjiandae.
 
Atafungua nyingi,tatizo wale waliokuwa wanampa informations wataogopa.
Sikuwahi kukuweka kwenye orodha ya wachawi hapa JF lakini leo umethibitisha umecolifie.

Kwa taarifa yako kutoka anapoishi Mange na ofisi za Instagram zilipo ni kama kutoka Mwenge kwenda Posta na issue kama hizi mamtoni ni kama wewe unavyokwenda kwenye tigo shop kuripoti matatizo ya simu yako.

Hili ukae ukilijuwa vizuri kabisa na ujiandae kisaikolojia maana punde atakaporudi hewani kama una mimba changa isije ikapuruchuka kwa ugonjwa wa Mangephobia.
 
her days are numbered too
 
wee jamaa bhana....unajua kila kitu,nchi hii hakuna usichokijua...ningeshangaa sana kama ungepitwa na hili.
 
Wangemkamata yeye ningeelewa, wamefuta akaunti ndio mnafurahi kiasi hicho. Subirini atafungua nyingine
 
Istagram kuna option ya kudeactivate account kwa muda then unairudisha

Kingine yawezekana watu wengi wamemreport so insta huwa wanaitoa account kwa muda ili mwenye account ajibu tuhuma kwa kutoa maelezo, wakiridhika na maelezo wanakufungulia
 
Then huyu dada huwa nampenda sana lakini tabia yake ya kuingilia maisha ya Dai huwa ananikera sana
 
Hata kwa tanga giza ilikuwa hivihivi...... mpaka leo watu wanasubili aposti....🙂🙂
 
ila watu mna maneno humu, nasoma na kucheka hizi comments, manake utadhani nyie ndio akina mark zuckerburg, kila 1 anasema lake, muda haudanganyi wacha tusubiri, naona accounts nyingine zinapumua,
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…