Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kuna wenzio (watumishi wa umma) walokuwa wakijiassociate naye wanapumulia mashine huko waliko, wale wa please hide my ID mjiandae.Yes. Inaweza kuwa kweli maana ameanza kubadili namba za simu za whatups. Lakini kufunga na kufungua account kwenye mitandao ya kijamii ni raisi mno. watu wana account zaidi ya moja leo anafungua hii kesho ile. the old is gone the new is come.
hahahaha na yale matusi?? maana c mpaka waelewe kilichoandikwaKufuta account ya mtu ni kazi sana hasa wazungu wakijua ni account inayoikosoa serikali yenu...wataipa ushirikiano wakutosha
Sikuwahi kukuweka kwenye orodha ya wachawi hapa JF lakini leo umethibitisha umecolifie.Atafungua nyingi,tatizo wale waliokuwa wanampa informations wataogopa.
her days are numbered tooAmanii eh wakuu account ya mange kimambi haipo tena insta... Ishara zilianza tokea juzi watu walivoanza kusema huyu sio mange baada ya vitu vya ajabu kutokea kwenye ile account hatimae na mchana huu account yake haipo tena instagram sijui dada wa watu atakuwa kapatwa na nini, uthibitisho huu chini
View attachment 610509
wee jamaa bhana....unajua kila kitu,nchi hii hakuna usichokijua...ningeshangaa sana kama ungepitwa na hili.Alishaliwa ' denge ' Kimafia siku nyingi sana ila Yeye kaja ' Kushtukia ' mchezo ndani ya wiki mbili hizi wakati imekuwa ' its too late '. Na hiyo si dalili njema Kwake kwani anything can happen at anytime. Sijawahi kuonaa ni wapi ' Mafia ' wakiungana na ' System ' kukutafuta wakakukosa. Na waliotumika kummaliza ni hao hao Watu anaodhani ni ' Marafiki ' zake kumbe ndiyo ' Nyoka ' wakubwa Kwake. Moja ya Kanuni ' Kuu ' ya Kimafia na Kijasusi popote pale duniani mbele ya potential target ' yao ni ama kumtumia Rafiki yake wa karibu sana au Ndugu yake ( mwana Familia wake ) katika kulifanikisha wanalolitaka na huwa hawakukosi katika hayo mawili hata ufanyeje. Na nina uhakika kuna Watu wengi sana ' yatawakuta ' makubwa siku zote ukiwa katika ' Mapambano ' makali ukitaka kulishinda Kundi fulani basi Kwanza anza na yule the ' Strongest ' wao kisha kuwamaliza hawa wengine inakuwa ni kama tu ' Kuteremka ' na Gari Mlima Kitonga bila kuliwasha na linatiririka na kuserereka lenyewe tu hadi chini.
Nadhani lengo lao lilikua kujua wale "hide my id please"sasa kwani si anafungua nyingine tu? hahaha panya ukimzuia hapa anatoboa tundu lingine anaendea kwingine
Lakini leo amepatwa na mfadhaiko wa moyo.Kwani akifungiwa Instagram account ndiyo amekufa??
Si atafungua accounts zingine nyingi tu?
Hata yeye Mange anazo fake Id.taarifa atazipata tu maana hata hao wanaomtumia wanatumia fake IDs. kuhusu followers siyo issue atakaefungua page yake atamfollow kama anataka
Kama nakuona unavyofurahi, lazima utagonga wine leo kujipongeza!!Jipe moyo.Nani kaideactivate ?hapo ndo haipo tena.
Mkuu matusi yake ya kawaida Sana huyo dadaMkuu umejilipua hapo leo lazima uyaoge matusi ya huyu Mafia
alisema juzi kuwa yyeye ni akili kubwa kila siku kabla ya kulala anafuta kila kituNadhani lengo lao lilikua kujua wale "hide my id please"
Na huyu naye mnataka kumuua !