Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kuchafua,ni kuweka hadharani yaliyofichwa. Mwendazake alikuwa MTU katili sana.Ni mwendo wa kupiga pesa, kununua miprado, kujenga mighorofa na kuamisha fedha kwenye account zetu za familia kupitia hizi NGO'S.
Sifa ni kuchafua na kua agent wa beberu.
Eee umesema je?Siyo kosa lake, mlaumu aliempa jina.
Hawajaiba hela zao ?Watuma salamu kwa mh rais SSHView attachment 1759513