Akaunti za Benki za Mtandao wa Watetezi wa Haki Binadamu Tanzania (THRDC) zimefunguliwa baada ya kufungwa kwa takribani miezi 8

Akaunti za Benki za Mtandao wa Watetezi wa Haki Binadamu Tanzania (THRDC) zimefunguliwa baada ya kufungwa kwa takribani miezi 8

Tutashuhudia mafuriko ya post twitter na kwingineko.

Hizo fedha fanyieni mambo ya maana msizitumbue kwa anasa tu.
Watu waandike maandiko yao wenyewe alipata fedha zizuiwe. Wazimu huo . Kutumbua pesa mmanake nn
 
Mambo ya ajabu ajabu tu enzi za jiwe.
Mwendazake alikuwa mshamba, haambiliki na hajali protocol wala katiba. Ndiyo maana hatunaye tena. Tanzania haikustahili kutawaliwa na mtu wa calibre ile. Ni ajali tu ya kisiasa ya mwaka 2015 ndiyo iliyomleta madarakani. ila Tumejifunza, viongozi lazima waandaliwe
Mambo ya ajabu ajabu tu enzi za jiwe.
 
Magufuli alichofaulu kufanya ni kukwepa kutendewa haki akiwa hapa duniani kwa maovu aliyowatendea watanzania lakini huko ataipata freshi maanake huko hataweza kuwaamrisha majaji kama alivyokuwa akifanya hapa duniani alipokuwa rais.
 
Back
Top Bottom