Akaunti za Benki za Mtandao wa Watetezi wa Haki Binadamu Tanzania (THRDC) zimefunguliwa baada ya kufungwa kwa takribani miezi 8

Ni mwendo wa kupiga pesa, kununua miprado, kujenga mighorofa na kuamisha fedha kwenye account zetu za familia kupitia hizi NGO'S.

Sifa ni kuchafua na kua agent wa beberu.
Hakuna kuchafua,ni kuweka hadharani yaliyofichwa. Mwendazake alikuwa MTU katili sana.
 
Akaunti zimefunguliwa ila salio ni buku jero/Tshs.1500.

Mungu muongezee adhabu huyo mwendazake/Magofool aliumiza wengi!
 
Watetezi wa haki za binadamu leo wamepokea habari njema baada ya akaunti zao za fedha zilizokuwa zimefungwa kwa muda usiopungua miezi 8 kufunguliwa leo.

Mamlaka zimesema kufungwa kwa akaunti hizo ni kitu cha kawaida pale wanapoona kuna haja ya kufanya hivyo panapokuwa na mashaka na akaunti hizo.Vick Mtetema amesema kufunguliwa kwa akaunti hizo sasa wako tayari kuendelea na majukumu yao ya kutetea haki za watu.
 
Likely fedha IPO...

Ku - freeze Bank Account maana yake ni kuzuia kuingiza wala kutoa pesa ktk account hiyo/hizo...

So, fedha zao ziko vilevile kama ambavyo ilikuwa kabla ya kuzuiwa kutia mkono hapo...
 
Udikteta ni mtamu sana kwa wanufaika wachache! Ila kwa majority, aisee!! Usimuliwe tu. Binafsi sina hamu nao kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…