Mwendazake alikuwa mshamba, haambiliki na hajali protocol wala katiba. Ndiyo maana hatunaye tena. Tanzania haikustahili kutawaliwa na mtu wa calibre ile. Ni ajali tu ya kisiasa ya mwaka 2015 ndiyo iliyomleta madarakani. ila Tumejifunza, viongozi lazima waandaliwe
Magufuli alichofaulu kufanya ni kukwepa kutendewa haki akiwa hapa duniani kwa maovu aliyowatendea watanzania lakini huko ataipata freshi maanake huko hataweza kuwaamrisha majaji kama alivyokuwa akifanya hapa duniani alipokuwa rais.