Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya kufanya tendo la ndoa ipake hiyo keki yako mafuta ya zaituni kisha mwambie huyo mume wako au bwana aile hiyo keki yako ya ajabu utaona raha tena hutosikia Maumivu. Mke wangu alikuwa na matatizo kama yako keki yake ipo kavu kiasi hata ukimchezea vipi haitowi maji dawa yake anaipaka mafuta ya Zaituni ipate kulainika kisha ndio mechi ya mpira inanza magoli ya kumwaga
Wadau naomba mniambie hili tatizo la mwanamke kuumia wakati wa kuduu linasababishwa na nini.Yeye haoni raha hata siku moja.
Mhnn... Mpenzi Heaven on earth, nawe siku hizi una kumbukumbu kwelikweli...uke kuwa mkavu sometimes inaweza kua sababu
kuna sehem MziziMkavu alisema hivi
uke kuwa mkavu sometimes inaweza kua sababu
kuna sehem MziziMkavu alisema hivi
Wadau naomba mniambie hili tatizo la mwanamke kuumia wakati wa kuduu linasababishwa na nini.Yeye haoni raha hata siku moja.
mmh jamni haya mafuta ya zaituni ndo yanapatikana wapi? coz sijawahi kuyasikiauke kuwa mkavu sometimes inaweza kua sababu
kuna sehem MziziMkavu alisema hivi
Mara nyingi hali hiyo inasababishwa na ugonjwa unaoitwa endometriosis.
Lipeleke swali hili jukwaa la JF Doctor tujadili kwa kirefu.
mmh jamni haya mafuta ya zaituni ndo yanapatikana wapi? coz sijawahi kuyasikia
Naona umejipanga kweli. Mpaka ile pete itakapoingia kidoleni, PhD tayari ushaikamatia.
Mhnn... Mpenzi Heaven on earth, nawe siku hizi una kumbukumbu kwelikweli...
either dushelele lako kubwa or atakuwa na matatizo ya tumbo akamwone daktari!
Mara nyingi hali hiyo inasababishwa na ugonjwa unaoitwa endometriosis.
Lipeleke swali hili jukwaa la JF Doctor tujadili kwa kirefu.
Ushauri wangu,,jaribu kutumia na mafuta ya ubuyu,,,ni mazuri sana kulainisha maumbile ya binadamu,,tumia kidogo tu wala haitaji kutumia nguvu,mpake vizuriiiiii,,punguza papara ,,vuta pumzi alafu endelea kumpaka,,utashangaa unateleza tuuuuuuu,,tuuuuuu,,tuuuuu,,,,na utafurahia ur conjugal right,,,,