Akiduu always anaumia.

Akiduu always anaumia.

Kashia

Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
8
Reaction score
5
Wadau naomba mniambie hili tatizo la mwanamke kuumia wakati wa kuduu linasababishwa na nini. Yeye haoni raha hata siku moja.
 
Kwanza hebu tuanze sawa...hili tatizo linakukabili wewe au mpenzi wako?
 
humu aandai pili atakuwa hakupendi tatu huwa unamlazimisha halafu yeye hataki ni hayo tu..
 
uke kuwa mkavu sometimes inaweza kua sababu

kuna sehem MziziMkavu alisema hivi

Kabla ya kufanya tendo la ndoa ipake hiyo keki yako mafuta ya zaituni kisha mwambie huyo mume wako au bwana aile hiyo keki yako ya ajabu utaona raha tena hutosikia Maumivu. Mke wangu alikuwa na matatizo kama yako keki yake ipo kavu kiasi hata ukimchezea vipi haitowi maji dawa yake anaipaka mafuta ya Zaituni ipate kulainika kisha ndio mechi ya mpira inanza magoli ya kumwaga
 
Wadau naomba mniambie hili tatizo la mwanamke kuumia wakati wa kuduu linasababishwa na nini.Yeye haoni raha hata siku moja.

either dushelele lako kubwa or atakuwa na matatizo ya tumbo akamwone daktari!
 
Pia inawezekana haandaliwi vizuri wakati wa ku-do.
 
Wadau naomba mniambie hili tatizo la mwanamke kuumia wakati wa kuduu linasababishwa na nini.Yeye haoni raha hata siku moja.

Bamia, nyanya chungu kwa sana na ndizi bukoba. Pia jaribu kula michemsho ya samaki kwa sana na supu supu.
Anzia hapo kwanza.

Angalizo:
Tendo la ndoa pasipo kuwa ndani ya ndoa ni hatari kwa maisha yako ya mbinguni. Tendo la ndoa lapaswa kufanyika ndani ya ndoa tu.
 
Una limugulu likubwa....

Pia yawezekana akawa ni mkavu huko kuako chini....
 
Ushauri wangu,,jaribu kutumia na mafuta ya ubuyu,,,ni mazuri sana kulainisha maumbile ya binadamu,,tumia kidogo tu wala haitaji kutumia nguvu,mpake vizuriiiiii,,punguza papara ,,vuta pumzi alafu endelea kumpaka,,utashangaa unateleza tuuuuuuu,,tuuuuuu,,tuuuuu,,,,na utafurahia ur conjugal right,,,,
 
haya si walisema yanamadhara kwa matumizi ya mwanadamu mkuu?
 
Back
Top Bottom