Akifa muisrael au kupigwa hospitali ni kosa ila haki ikifanya hivyo kwa wengine

Akifa muisrael au kupigwa hospitali ni kosa ila haki ikifanya hivyo kwa wengine

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Hakuna taifa la hovyo kama Israel. Likishambuliwa ni uharifu wa kivita na mauaji ya kimbari. Likiua, ni haki na sawa. Sijui ni akili gani wanyama kama Netanyahu na Trump wanatumia. Kumbe mkuki kwa nguruwe siyo? Halo halo!!
 
Naona safari hii amepata mpinzani wa kweli, kiasi cha mungu wake Marekani aliyekuwa amejificha; kutoa kitisho cha kuingia kwenye hiyo vita.
 
Back
Top Bottom