Akija Rais atakaye deal na bodaboda nitamshukuru

Akija Rais atakaye deal na bodaboda nitamshukuru

BODABODA tukale wapi
Mfuate sheria za usalama barabarani na muache kutumia pombe za bei nafuu zinawaharibu sana pia muoge bodaboda ni kazi ila mmeifanya kuwa kazi ya kihuni na ya vijana waliokata tamaa na maisha
 
Kuna boda alinibeba siku moya.!

Akanikimbiza sehemu, he was on rush.!.

Tunafika pale ile nampa hela hana chenji na aliamua kunibeba.!

Unajua alisema nini.!?

'bro kama ulinuia kunipa hiyo hela na chenji huna inatosha.!' Jazak llahulakher nimekusamehe 'I was off on a moment but kwa chemistry yake he was meant on roll.!
 
Wapo bodaboda wanaojitambua na wanajali kazi yao ila hawa wenye walioachia nywele kama makinda ya ndege hapana
Ndiyo maana nikasema tunawaheshimu ni fighter nikijua humo ndani kuna hao wanoiiheshimu. Si hawa wasokota rasta na kuvaa vikumanina na yebo nusu mguu wakiendesha
 
Tatizo polisi wakitaka kuwadhibiti kuna wapumbavu wa kuitwa wanasiasa wanaingiza siasa waachwe ni wapiga kura wao
Yes, utashi wa kisiasa ndio changamoto, wanasiasa hufanya mambo kwa interests zao, bodaboda na wanaopanga biashara barabarani ni wapiga kura wa chama tawala, hawataki waguswe, waachwe wavunje sheria. Ila athari ni kubwa.

Swala la kuwala wake zetu hilo ni binafsi sana, mke akiamua kuliwa haijalishi, ataliwa tu.
 
Ndiyo maana nikasema tunawaheshimu ni fighter nikijua humo ndani kuna hao wanoiiheshimu. Si hawa wasokota rasta na kuvaa vikumanina na yebo nusu mguu wakiendesha
Mkuu ukitaka kujua bodaboda ni kazi nenda Rwanda kule bodaboda ni wasafi wanaheshimu sheria za usalama barabarani na wanajali usalama wao
 
Mkuu ukitaka kujua bodaboda ni kazi nenda Rwanda kule bodaboda ni wasafi wanaheshimu sheria za usalama barabarani na wanajali usalama wao
Rwanda ile nchi sheria zao hazina lelemama, huo mwendo wao tu kikomo hata 80 haifiki. Wana sheria kali sana, huku tunachekeana tu
 
Back
Top Bottom