Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,560
- 12,277
Tuunde tume ya kuwachunguza halafu mimi nitakuwa mwenyekiti wa tume nawaahidi kuja na majibu na suluhisho hamtokaa tena kusikia malalamikoHakika shida nani wa kuchunguza sasa
Tuunde tume ya kuwachunguza halafu mimi nitakuwa mwenyekiti wa tume nawaahidi kuja na majibu na suluhisho hamtokaa tena kusikia malalamikoHakika shida nani wa kuchunguza sasa
Hiyo tumd ni ya kujitolea no salary utafanya kazi mkuu🤣Tuunde tume ya kuwachunguza halafu mimi nitakuwa mwenyekiti wa tume nawaahidi kuja na majibu na suluhisho hamtokaa tena kusikia malalamiko
Rhabhekhaa!! 😂😂😂Wewe binti 😂😂😂
Hapoo sasa, 😂😂😂Wenyewe wanaona Janga.
Sisi tunaona Fursa 😅😅😅
Hatariii sana.Crowd mentality.
Wabobevu na wafuasi.
Kwenye jamii unayoenda kujipachika ili ufiti katika order zake ujue umeuza nguvu ya kujisikiliza kabla ya kuamua na kuanza kuamua kwa kuwasikiliza wale uliowapigia magoti.
Even serikali inapenda muwe katika mfumo huu na haipendi mtu mmoja mmoja.
😂😂😂 mahi boda boda wanavutia km hauko kwenye mahusiano nao.Utaliwa aku record akawaoneshe kwa ushahidi wenzie kijiweni shaulilo🤣
Mamlaka husika.Hakika shida nani wa kuchunguza sasa
Tuunde tume ya kuwachunguza halafu mimi nitakuwa mwenyekiti wa tume nawaahidi kuja na majibu na suluhisho hamtokaa tena kusikia malalamiko
Unawazungumziaje bodaboda walevi vibaka majambazi wauza madawa wavuta bangi wasiopenda kuoga wasiofuata sheria za usalama barabarani?Rhabhekhaa!! 😂😂😂
Kumbe akili unazo🤣🤣😂😂😂 mahi boda boda wanavutia km hauko kwenye mahusiano nao.
Siwezi date na Boda, kamwe
😂😂😂
SawaMamlaka husika.
Hiyo tumd ni ya kujitolea no salary utafanya kazi mkuu🤣tatizo siyo kujitolea tatizo je nitakachokiwasilisha kwa mamlaka kama mapendekezo kitafanyiwa kazi
SahihiBodaboda ni matokeo ya umasikini wa taifa
Kwani zamani kabla ya bodaboda watu waliishije?Sasa fikiria hizo akili zote zihamie kwenye ukabaji
Kwa gharama za maisha na viungo vya watu wengi.Unajua bodaboda zikiwa 2milions zimeiokoa kwa kiasi gani serikali na upungufu wa ajira na je zikitolewa nini itakua mbadala wa ajira na usafiri wa haraka na nafuu adi vichochoroni?
Watarudi vijijini kulima.Unajua bodaboda zikiwa 2milions zimeiokoa kwa kiasi gani serikali na upungufu wa ajira na je zikitolewa nini itakua mbadala wa ajira na usafiri wa haraka na nafuu adi vichochoroni?
Na wengi wametoka vijijini ndio maana wanaendesha hovyo kama walo kwenye vile vinjia vya vichakani huko vijijini.Watarudi vijijini kulima.
Kuhusu wake za watu usiwasingizie bodaboda...tatizo ni aina ya wanawake wenyewe kama umeoa malaya unategemea nini?Hujamuelewa tu
1 bodaboda ni magaidi yaliyoidhinishwa na serikali
2 bodaboda wamekuwa watuhumiwa wa kutembea na wake za watu kuwatia mimba wanafunzi na wasaidizi wa ndani, na kesi nyingi za bodaboda kuuwawa chanzo kikubwa imekuwa ni wake za watu inatakiwa bodaboda wa Tanzania wakajifunze Rwanda🇷🇼 aisee wale bodaboda wa kule wamepiga hatua kubwa sana
ni sawa uulize wasomi waliishije, ajira zilikua nyingi, miji ilikua haina idadi kubwa kama sasa, wasomi walipata ajira wakiwa bdo chuo.Kwani zamani kabla ya bodaboda watu waliishije?
Wataishi kama wengine ambao hawaendeshi bodaboda.ni sawa uulize wasomi waliishije, ajira zilikua nyingi, miji ilikua haina idadi kubwa kama sasa, wasomi walipata ajira wakiwa bdo chuo.