Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,560
- 12,277
Ni mawazo yangu tu mkuu maana huwa najiuliza bila majibu kijana kamaliza form 4 au six yuko vizuri tu ila akianza kazi ya bodaboda akili zinahama kuoga mtihani kufua shida utashangaa anakuwa Rasta pombe bangi uhuni wa kipumbavu yeyeHivi kuna uwezekano huo?