Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,560
- 12,277
Ni mawazo yangu tu mkuu maana huwa najiuliza bila majibu kijana kamaliza form 4 au six yuko vizuri tu ila akianza kazi ya bodaboda akili zinahama kuoga mtihani kufua shida utashangaa anakuwa Rasta pombe bangi uhuni wa kipumbavu yeyeHivi kuna uwezekano huo?
Halafu nyinyi wawili tutawafuatiliaUna hoja uzingatiwe.
Bora umehoji hiki kitu, hata mie huwa najiuliza sana.Kuna uhusiano gani kua boda boda na kua mhuni ,mchafu, kua na tabia mbaya
Ni kwamba kuna athari ukianza kua boda boda unazipata hivi hili kundi shida ni nini?
Au bange na pombe ?
Kwanini tena jamanii.Halafu nyinyi wawili tutawafuatilia
Ina chukuliwa kawaida ila inashangaza sanaπ₯ΉNi mawazo yangu tu mkuu maana huwa najiuliza bila majibu kijana kamaliza form 4 au six yuko vizuri tu ila akianza kazi ya bodaboda akili zinahama kuoga mtihani kufua shida utashangaa anakuwa Rasta pombe bangi uhuni wa kipumbavu yeye
Yaani sijui kwanini kwa sababu kazi zingine pia kuna vijana kama wao why wao jamani dahBora umehoji hiki kitu, hata mie huwa najiuliza sana.
Sisi tunajadili janga la bodaboda nyinyi mnajadili eti kuna wakaka wazuri kuleKwanini tena jamanii.
Watu wamegoma kuamini πUna hoja uzingatiwe.
Boda boda kuna kitu hakiko sawa, kinatakiwa kifanyike uchunguzi.Yaani sijui kwanini kwa sababu kazi zingine pia kuna vijana kama wao why wao jamani dah
Kuna Boda wana pepo za Watu. Wanatakiwa kuzingatiwa.Watu wamegoma kuamini π
Hawawajui Boda hawa π
Sasa kwani uongo? Wapo wakaka wazuri na wanavutia.Sisi tunajadili janga la bodaboda nyinyi mnajadili eti kuna wakaka wazuri kule
Wewe binti πππSasa kwani uongo? Wapo wakaka wazuri na wanavutia.
Aloooh πππ
Mimi nimemuelewa mleta mada. Sio kwamba bodaboda watolewe, hapana. Bodaboda wana umuhimu sanaUnajua bodaboda zikiwa 2milions zimeiokoa kwa kiasi gani serikali na upungufu wa ajira na je zikitolewa nini itakua mbadala wa ajira na usafiri wa haraka na nafuu adi vichochoroni?
Hakika shida nani wa kuchunguza sasaBoda boda kuna kitu hakiko sawa, kinatakiwa kifanyike uchunguzi.
Utaliwa aku record akawaoneshe kwa ushahidi wenzie kijiweni shauliloπ€£Sasa kwani uongo? Wapo wakaka wazuri na wanavutia.
Aloooh πππ
Zimeshaanza kuhamia huko siku nyingi. Baada ya muda mtajua ninachomaanisha. ANGALIZO: mwanzisha thread anaomba rais ataye deal na dalili za ugonjwa na siyo chanzo cha ugonjwa. This will not work.Sasa fikiria hizo akili zote zihamie kwenye ukabaji
Crowd mentality.Bora umehoji hiki kitu, hata mie huwa najiuliza sana.
Wenyewe wanaona Janga.Sasa kwani uongo? Wapo wakaka wazuri na wanavutia.
Aloooh πππ