Akija Rais atakaye deal na bodaboda nitamshukuru

Tuunde tume ya kuwachunguza halafu mimi nitakuwa mwenyekiti wa tume nawaahidi kuja na majibu na suluhisho hamtokaa tena kusikia malalamiko
Hiyo tumd ni ya kujitolea no salary utafanya kazi mkuu🤣
 
Hatariii sana.
 
Bodaboda ni matokeo ya umasikini uliokithiri katika taifa.
 
Unajua bodaboda zikiwa 2milions zimeiokoa kwa kiasi gani serikali na upungufu wa ajira na je zikitolewa nini itakua mbadala wa ajira na usafiri wa haraka na nafuu adi vichochoroni?
Kwa gharama za maisha na viungo vya watu wengi.
 
Unajua bodaboda zikiwa 2milions zimeiokoa kwa kiasi gani serikali na upungufu wa ajira na je zikitolewa nini itakua mbadala wa ajira na usafiri wa haraka na nafuu adi vichochoroni?
Watarudi vijijini kulima.
 
Kuhusu wake za watu usiwasingizie bodaboda...tatizo ni aina ya wanawake wenyewe kama umeoa malaya unategemea nini?
Ina maana mkeo akikusaliti ametembea na bodaboda?
Nikuambie kitu kimoja bodaboda mnawakuza mno ni tofauti na wao walivyo.
Wewe kama ni mfanyakazi wa umma au sekta binafsi uko ndio utaelewa jinsi ya wake za watu wanavyopigwa miti kwa kwenda mbele.
 
Kwani zamani kabla ya bodaboda watu waliishije?
ni sawa uulize wasomi waliishije, ajira zilikua nyingi, miji ilikua haina idadi kubwa kama sasa, wasomi walipata ajira wakiwa bdo chuo.
 
ni sawa uulize wasomi waliishije, ajira zilikua nyingi, miji ilikua haina idadi kubwa kama sasa, wasomi walipata ajira wakiwa bdo chuo.
Wataishi kama wengine ambao hawaendeshi bodaboda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…