Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Putin ana tuhumiwa kuhamisha
watoto 2000 kwa razima kutoka
Ukraine na kuwapeleka Urusi ,yaani ni kama vile aliwaiba kutoka nchi yao mama,japo Urusi inadai wamepelekwa kule kwa ajili ya usalama.
Netanyau ana tuhumiwa kuuwa watoto zaidi ya 15,000 ,hayo ni mashitaka mawili tofauti japo yote kwa tafisiri ya kisheria ni uharifu.
Hata hivyo kwa muundo wa mahakama hii ni ngumu kuwafikisha mbele ya sheria watuhumiwa kwa sababu haina chombo maalumu cha kutekelezeka warrant ,badala yake ina wategemea nchi wanachama wake kutekeleza iwapo mtuhumiwa atakanyaga ndani ya nchi mwana chama.
Pamoja na hayo hupunguza uhuru hasa wa kusafiri kwa watuhumiwa kwa kuhofia kukamatwa.
Mfano Putin kwa sasa hawezi kwenda nchi zenye mwelekeo wa kimagharibi.
Netanyau kwa sasa hawezi thibutu kwenda nchi za America za kusini.
Hawa watu wana upendeleo Sana.kwamba ile mijiburgundy Putin kaivuruga haikuwa na watoto kabisa ila Gaza ndo kuna watoto ? ifike muda tuache unafiki
Kweli kabisa wote wakamatwe!!ICC kusema Waziri Mkuu wa Israel akamatwe Kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu, naona kunashadadiwa Sana na baadhi ya watu.
Lakini makosa ya Netanyahu yanafanana Sana na makosa anayotuhumiwa nayo Rais wa Urusi Valdmir Putin.
Jee akikamatwa Netanyahu kufanyike pia harakati za kumkamata Putin!!??
............Vivyo hivyo kwa Netanyahu.Hakuna mbwa yeyote anaeweza kumkamata Putin.
Hayo maswali waulize waendesha mashitaka wa ICC na sio mm.kwamba ile mijiburgundy Putin kaivuruga haikuwa na watoto kabisa ila Gaza ndo kuna watoto ? ifike muda tuache unafiki
Kama mwanaume aende Norway kama hajakamatwa............Vivyo hivyo kwa Netanyahu.
Aende tu hata kama hana mpango wa kwenda huko.Kama mwanaume aende Norway kama hajakamatwa
Kama umechukia jinyonge. Tena nawasadia Spain na Ireland kwa kuunga mkono uhuru wa palestina. Bila kusahau ujerumani na ufaransa kwa kutamka leo kuwa Netanyahu akikanyaga kwenye nchi zao watamkamata na kumpeleka the Hague. Haya kufa sasa kwa hasira sana kwa namna nilivyo kukera.Aende tu hata kama hana mpango wa kwenda huko.
Lakini watu kwa unafiki tu hamjambo, yaani nyie watu leo mnawasifia Narway "Makafiri," ❓❗😲
Putin namkubali sana. Alisema yeye magaidi anawawaisha wakawahi mabikra. Halafu kuna Mwamba Netanyau. Balaa jingine hili.Hakuna mbwa yeyote anaeweza kumkamata Putin.
Gadaf aliuawa na WalibyaMtu halali wa kukamata Ni Bush , Ramsfeld sijui kama yuko Hai...Kamata Obama na Hillary clinton na David Camreon na Sakorzy makosa yao yanajulikana waliua Gadafi na walibya kibao..
Pia hakuna mbwa yoyote mwenye ubavu wa kumkamata Netanyahu.Hakuna mbwa yeyote anaeweza kumkamata Putin.
Hivi uko sawa upstairs?Mkuu umetumia akili kweli na kutafakari kiasi unafananisha uhalifu wa Putin na Netanyahu!?
Jiulize kwanini Putin ni viongozi wa EU tu na NATO ndio waliomkalia kooni?
Pia jiulize mbona kwa Israel karibia DUNIA NZIMA ILIMKABA KOO ISRAEL!?
We hujaona utofauti hapo!?
Makosa ya Netanyahu ni EXCEPTIONAL.
Putin hana makosa anatetea taifa lake against NATO espionage/conspiracy through Ukraine.
Kabla ya kutolewa hiyo warrant, unaweza tukumbusha ameenda Norway mara ngapi?Kama mwanaume aende Norway kama hajakamatwa
ficha ushenzi wako, hujui maana ya NWOUnamlinganisha Putin na huyo takataka la Kizayuni hajulikani anauwa wapaletina kwa sababu zipi mabwana zake wa ulaya NWO au hataki Taifa Takatifu la kipalestina lizaliwe!? Netapaka ni Jambazi tu..
Hakuna wa kumkamata Putin wala Netanyahu.
Hiyo ICC ni kwa ajili ya kutishia nyau kina Ruto, Uhuru, Kosgei na Bashir