Akikamatwa Netanyahu na Putin naye akamatwe

Akikamatwa Netanyahu na Putin naye akamatwe

Hakuna wa kumkamata Putin Wala Netanyahu. Wanaomkata Putin wanakuwa wamemis kufa au?
 
kwamba ile mijiburgundy Putin kaivuruga haikuwa na watoto kabisa ila Gaza ndo kuna watoto ? ifike muda tuache unafiki
Putin ana tuhumiwa kuhamisha
watoto 2000 kwa razima kutoka
Ukraine na kuwapeleka Urusi ,yaani ni kama vile aliwaiba kutoka nchi yao mama,japo Urusi inadai wamepelekwa kule kwa ajili ya usalama.
Netanyau ana tuhumiwa kuuwa watoto zaidi ya 15,000 ,hayo ni mashitaka mawili tofauti japo yote kwa tafisiri ya kisheria ni uharifu.

Hata hivyo kwa muundo wa mahakama hii ni ngumu kuwafikisha mbele ya sheria watuhumiwa kwa sababu haina chombo maalumu cha kutekelezeka warrant ,badala yake ina wategemea nchi wanachama wake kutekeleza iwapo mtuhumiwa atakanyaga ndani ya nchi mwana chama.
Pamoja na hayo hupunguza uhuru hasa wa kusafiri kwa watuhumiwa kwa kuhofia kukamatwa.

Mfano Putin kwa sasa hawezi kwenda nchi zenye mwelekeo wa kimagharibi.

Netanyau kwa sasa hawezi thibutu kwenda nchi za America za kusini.
 
  • Thanks
Reactions: 511
ICC kusema Waziri Mkuu wa Israel akamatwe Kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu, naona kunashadadiwa Sana na baadhi ya watu.

Lakini makosa ya Netanyahu yanafanana Sana na makosa anayotuhumiwa nayo Rais wa Urusi Valdmir Putin.

Jee akikamatwa Netanyahu kufanyike pia harakati za kumkamata Putin!!??
Kweli kabisa wote wakamatwe!!
 
kwamba ile mijiburgundy Putin kaivuruga haikuwa na watoto kabisa ila Gaza ndo kuna watoto ? ifike muda tuache unafiki
Hayo maswali waulize waendesha mashitaka wa ICC na sio mm.
 
Mtu halali wa kukamata Ni Bush , Ramsfeld sijui kama yuko Hai...Kamata Obama na Hillary clinton na David Camreon na Sakorzy makosa yao yanajulikana waliua Gadafi na walibya kibao..
 
Aende tu hata kama hana mpango wa kwenda huko.

Lakini watu kwa unafiki tu hamjambo, yaani nyie watu leo mnawasifia Narway "Makafiri," ❓❗😲
Kama umechukia jinyonge. Tena nawasadia Spain na Ireland kwa kuunga mkono uhuru wa palestina. Bila kusahau ujerumani na ufaransa kwa kutamka leo kuwa Netanyahu akikanyaga kwenye nchi zao watamkamata na kumpeleka the Hague. Haya kufa sasa kwa hasira sana kwa namna nilivyo kukera.
 
Mtu halali wa kukamata Ni Bush , Ramsfeld sijui kama yuko Hai...Kamata Obama na Hillary clinton na David Camreon na Sakorzy makosa yao yanajulikana waliua Gadafi na walibya kibao..
Gadaf aliuawa na Walibya
 
Netanyahu hajafanya makosa yoyote ni kama Idd Amin alivamia Tz kagera akachinja watz tukamfuata Uganda, Netanyahu asisikilize wajinga waliohongwa na waarabu wenye chuki ya kibaguzi dhidi ya wayahudi, eti hawafai kuwepo duniani wakati taifa lao lilikuwepo miaka 3,000 iliyopita. Israel ina haki ya kujilinda utaifa wake na raia wakena kujibu mapigo, kwa video ya leo, Israel isipangiwe namna ya kuwaadhibu magaidi, damu ya raia wa Palestina itakuwa juu ya magaidi wa Hamas wanaojificha miongoni mwa raia,
 
Mwamba Netanyahau amemwambia Huyo prosecutor wa ICC yeye Ndio ajiangalie anapofanya Safari zake
 
Mkuu umetumia akili kweli na kutafakari kiasi unafananisha uhalifu wa Putin na Netanyahu!?
Jiulize kwanini Putin ni viongozi wa EU tu na NATO ndio waliomkalia kooni?
Pia jiulize mbona kwa Israel karibia DUNIA NZIMA ILIMKABA KOO ISRAEL!?
We hujaona utofauti hapo!?
Makosa ya Netanyahu ni EXCEPTIONAL.
Putin hana makosa anatetea taifa lake against NATO espionage/conspiracy through Ukraine.
Hivi uko sawa upstairs?
 
Unamlinganisha Putin na huyo takataka la Kizayuni hajulikani anauwa wapaletina kwa sababu zipi mabwana zake wa ulaya NWO au hataki Taifa Takatifu la kipalestina lizaliwe!? Netapaka ni Jambazi tu..
ficha ushenzi wako, hujui maana ya NWO
 
Back
Top Bottom