mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
tupe formula zote mkuu una kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
msalimie shemeji 😎Mmnh
Kaka we mzembe sana 😂Nyuzi za hv muwe mnaandika mapema sasa!
Mtaa naokaa tuna siku kadhaa maji hamna Jana jioni ikabidi nikatafute hata ya chumvi ili nisurvive, mda narudi na ndoo zangu mbili nkakutana na wadada wakaniuliza mbona unachota maji usiku wifi hayupo?
Baada ya kusoma hii thread nimelia na kusaga meno😂Kaka we mzembe sana 😂
Yes,Dem ndo mmejuana juana siku moja mbili tatu hivi. Hujaweka clear intention yako kwake ila mkikutana au mkipigiana simu mnaongea mnafurahi.
Hata kama mmejuana muda mrefu. Ila hamjuani kiundani hasa katika eneo la mahusiano. Ni workmate wako pengine, ila recently mmekuwa na ukaribu sana na utani utani wa hapa na pale.
Ikatokea siku katika mazungumzo yenu yakutaniana taniana mliyoyaibua juzijuzi, mwishoni akikuaga akakwambia 'Msalimie wifi', bro, wala hata usijihangaishe kuwaza anamaanisha nini. Ameshakuelewa huyo. Anakutengenezea njia upite nae.
Shemeji hajamboMkuu Wifi hajambo?
😂😂😂Mkuu Wifi hajambo?
😂😂😂😂Aiseee! Ungekuta saiv npo na mtoto wa mtu Mbudya Island
Men:2 kausha damu: 0Sina hela.
Msela 1: "Hayupo nitafutie basi, lakini naona wewe unanifaa zaidi"Nyuzi za hv muwe mnaandika mapema sasa!
Mtaa naokaa tuna siku kadhaa maji hamna Jana jioni ikabidi nikatafute hata ya chumvi ili nisurvive, mda narudi na ndoo zangu mbili nkakutana na wadada wakaniuliza mbona unachota maji usiku wifi hayupo?
Mkuu unajibuje hapo nipe materio