Akikwambia 'msalimie wifi', imeisha hiyo mtu wangu

Akikwambia 'msalimie wifi', imeisha hiyo mtu wangu

Pia kuna hizi sentensi;

1. Mimi mapenzi hapana. Sitaki wanaume. Kinyume chake ni kwamba anahitaji mwanaume.

"2. Nikija are sure tutapiga stori tu!" Hapa mkuu kunywa wine ya kutosha maana mtoto anakuja kukutunuku. Kazi kwako.

3. Fulani ni mtu wako? Anataka kujua iwapo una mpenzi ama upo singularity.

4. Kwanini uliachana na....? Hapa anataka kujue je jimbo lipo wazi?

5. Una watoto wangapi? Hapa anapima je, akiwa na wewe utakuwa na majukumu kiasi gani? Kiufupi ameshakuelewa!

6. Wanaume ni waongo sana. Hapa anataka akupe nafasi ili umtibu maumivu yake.**

HAPPY VALENTINE WANA-JF

Mkumbuke kucheza na zana leo
 
Nyuzi za hv muwe mnaandika mapema sasa!

Mtaa naokaa tuna siku kadhaa maji hamna Jana jioni ikabidi nikatafute hata ya chumvi ili nisurvive, mda narudi na ndoo zangu mbili nkakutana na wadada wakaniuliza mbona unachota maji usiku wifi hayupo?
😂😂👆

Mkuu umenichekesha sana.

Kumbe huna mbwinu za kibaharia!
 
Back
Top Bottom