Akikwambia 'msalimie wifi', imeisha hiyo mtu wangu

Yes,
Uko sahihi kabisa,
hiyo ni anakupa signal kwamba jimbo liko wazi na kwakweli unakaribishwa haraka sana wakati wowote for everything πŸ’

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Muwe mnasema mapema sasa mbona nimeshakutana na hiyo hali na sikushtuka?

β€ŠMimi: utanipigia baadae kunijulisha imeendaje

Yeye: Mi naogopa kupigia simu mabwana za watu unataka wifi anizingue

Mimi: hamna wifi labda huyo wifi uwe wewe

yeye: uongo huo yani hadi leo wifi awe hayupo? Siamini

Mimi: kama huamini basi ntatafuta ili awepo

Nilipiga mpira nje wakati nimeshaingia kwenye box
 
Nyuzi za hv muwe mnaandika mapema sasa!

Mtaa naokaa tuna siku kadhaa maji hamna Jana jioni ikabidi nikatafute hata ya chumvi ili nisurvive, mda narudi na ndoo zangu mbili nkakutana na wadada wakaniuliza mbona unachota maji usiku wifi hayupo?
Msela 1: "Hayupo nitafutie basi, lakini naona wewe unanifaa zaidi"
Msela 2: "Hayupo , afu siku moja uje unisaidie kupika nibadili chakula."
Msela 3: "Sina mtu, wewe njoo nitembelee tu"
Mkuu unajibuje hapo nipe materio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…