Akikwambia 'msalimie wifi', imeisha hiyo mtu wangu

Duh!...
 
Mkuu watu bado tupo Kwenye maombolezo ya Kifo cha Mpendwa wetu Hayati Edward Lowasa,sasa unaletaje mada hizi?.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Nyuzi za hv muwe mnaandika mapema sasa!

Mtaa naokaa tuna siku kadhaa maji hamna Jana jioni ikabidi nikatafute hata ya chumvi ili nisurvive, mda narudi na ndoo zangu mbili nkakutana na wadada wakaniuliza mbona unachota maji usiku wifi hayupo?
Daah umeach la mental hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…