Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
-
- #201
ChaiBiashara za gari hazitaki njaa, hata biashara za mabasi unaanza kuingiza faida baada ya miaka miwili kwa wastani, hizo ni biashara ya watu waliokwisha jitafuta kiuchumi, we na mkopo wako wa M 100 unataka hadi sukari utoe kwenye mapato ya gari pole sana.
Na biashara maajabu yake , ukiona biashara in return kubwa ufahau pia una risk kikubwa...
Umewahi kufanya biashara?Ndio nimekipata
Sina mda wa kukujibuUmewahi kufanya biashara?
Mkuu nimegundua kuwa wewe kichwani hampo sawa kabisa kwasababu kadri unavyozidi kujibizana na watu humu ndipo unajifunua kuwa akili zako ni fupi mno ila nataka nikusaidie mchongo fulani hivi kama upo tayariSina mda wa kukujibu
Saidia ndugu zakoMkuu nimegundua kuwa wewe kichwani hampo sawa kabisa kwasababu kadri unavyozidi kujibizana na watu humu ndipo unajifunua kuwa akili zako ni fupi mno ila nataka nikusaidie mchongo fulani hivi kama upo tayari
MojaCosta gani million 100?
2 au moja
Nataka nikusaidie wewe kwasababu naijua hali unayoipitiaSaidia ndugu zako
Costa RicaCosta gani million 100?
2 au moja
Kwa wili uyo bado biashara aijachanganya kuna watu weekend moja tu wanaingiza si chini ya laki tatu nne yani jumamosi na jumapil tena hasa hasa kukiwa na mechi za simba na yanga apo bado katikati ya wiki napo anaokota ata laki mbili laki moja kiufupi biashara ya kuonesha mpira na move kuna watu inawalipaUkichunguza sana biashara,huwez fanya biashara
Huku kwetu kuna watu wanafanya biashara ya vibanda umiza mpaka unaweza ukashangaa
aNanunua flat tv 3 za inch 55 mpaka 60
Anachonga bechi za mbao au chuma ukumbi mzima
Anajenga jengo
Genereta la laki 5
Bei ya kiingilio 500 kwa wiki anaingiza 60,000 kwa mwezi 240,000
Ukipiga hesabu pesa iliyotumika hapo ni kama 10mil
Sio kweli haizidi miaka 6Milioni 100 Yale itanchukua miaka 10 kuirudisha
Wewe una roho mbaya sana mkuu🤣Acha waendelee na mipango yao usimuhurumie mtu kwenye utafutaji , moja Siri ni kuficha code za sehemu unayopata faida na kutoa code za sehemu mbovu
Ndio umeandika nini afya ya akili tatizo halafu nadhani jua kali sana watu mnadata🤣🤣🤣🤣Ni kweli safari ya mafanikio ya mafanikio ya mtu mweusi ni ngumu kama ambayo mfano wewe .
Ushauri wa kijinga kwa mjinga kama wewe hapo
Unadhani kama ingekuwa wanapata hasara kama unavyodai wangeendelea?
Sawa mind you business shida nini kwaniMimi ni mzima ndio maana sijawahi kuwa kituko humu ndani
Wakuu huyu dogo msaidieni ana shida mahaliNdio umeandika nini afya ya akili tatizo halafu nadhani jua kali sana watu mnadata🤣🤣🤣🤣
Wala sio roho mbaya , kamuulizr MO chuma cahakavu anachokusanya Malawi anapeleka wapi uje hapa useme, au muulize mahindi anayoiza wfp sudani na uarabuni dili alipataje ndio uje hapa, ni codes Tu na ndio maana familia tajiri nchi zote ni zilezile wewe mwenzangu na Mimi ukipata mchongo ukitoa Siri unazungukwa bila kujua watu wanapanda dau biashara haina hurumaWewe una roho mbaya sana mkuu🤣
Hii mbona kama ChaiJamaa wa Chipsi kuku pale namangaa mtaji wake ka milioni 5 ila kwa mwezi anapiga ka milioni kumiii
Tusipangiane biasharaa
Umefanyaje hesabu ukapata miaka 10?!Milioni 100 Yale itanchukua miaka 10 kuirudisha