Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
- #201
ChaiBiashara za gari hazitaki njaa, hata biashara za mabasi unaanza kuingiza faida baada ya miaka miwili kwa wastani, hizo ni biashara ya watu waliokwisha jitafuta kiuchumi, we na mkopo wako wa M 100 unataka hadi sukari utoe kwenye mapato ya gari pole sana.
Na biashara maajabu yake , ukiona biashara in return kubwa ufahau pia una risk kikubwa...