Akili gani hii mtu ananunua costa milion 100 kwa ajili ya kupewa laki 1 kwa siku

Akili gani hii mtu ananunua costa milion 100 kwa ajili ya kupewa laki 1 kwa siku

Biashara za gari hazitaki njaa, hata biashara za mabasi unaanza kuingiza faida baada ya miaka miwili kwa wastani, hizo ni biashara ya watu waliokwisha jitafuta kiuchumi, we na mkopo wako wa M 100 unataka hadi sukari utoe kwenye mapato ya gari pole sana.

Na biashara maajabu yake , ukiona biashara in return kubwa ufahau pia una risk kikubwa...
Chai
 
Mkuu nimegundua kuwa wewe kichwani hampo sawa kabisa kwasababu kadri unavyozidi kujibizana na watu humu ndipo unajifunua kuwa akili zako ni fupi mno ila nataka nikusaidie mchongo fulani hivi kama upo tayari
Saidia ndugu zako
 
Gunners mwenzetu ungeiwekeza wapi?
Mwenzako ndio kaona hapo, tusimsimange, kila mtu ana uwezo wake wa kufikiri mkuu, kulingalishana siyo poa
 
Ukichunguza sana biashara,huwez fanya biashara

Huku kwetu kuna watu wanafanya biashara ya vibanda umiza mpaka unaweza ukashangaa

aNanunua flat tv 3 za inch 55 mpaka 60
Anachonga bechi za mbao au chuma ukumbi mzima
Anajenga jengo
Genereta la laki 5
Bei ya kiingilio 500 kwa wiki anaingiza 60,000 kwa mwezi 240,000

Ukipiga hesabu pesa iliyotumika hapo ni kama 10mil
Kwa wili uyo bado biashara aijachanganya kuna watu weekend moja tu wanaingiza si chini ya laki tatu nne yani jumamosi na jumapil tena hasa hasa kukiwa na mechi za simba na yanga apo bado katikati ya wiki napo anaokota ata laki mbili laki moja kiufupi biashara ya kuonesha mpira na move kuna watu inawalipa
 
Milioni 100 Yale itanchukua miaka 10 kuirudisha
Sio kweli haizidi miaka 6

Tuseme ni kweli kama mtoa mada alivyosema dereva malengo ni 100K ambayo kwa mwezi siku 26 ni 2.6M na labda kila mwezi unatenga 600K kwa ajili ya service and maintenance, anabaki na 2M×12×5= 120M

Ila ni biashara yenye ukichaa wake ijapokuwa kila biashara ina watu wake wanaoimudu na kupata faida. Kuna biashara ukipiga umepiga unapaa na ukipigwa umepigwa unagalagazwa vibaya mno.
 
Ni kweli safari ya mafanikio ya mafanikio ya mtu mweusi ni ngumu kama ambayo mfano wewe .

Ushauri wa kijinga kwa mjinga kama wewe hapo
Unadhani kama ingekuwa wanapata hasara kama unavyodai wangeendelea?
 
Ni kweli safari ya mafanikio ya mafanikio ya mtu mweusi ni ngumu kama ambayo mfano wewe .

Ushauri wa kijinga kwa mjinga kama wewe hapo
Unadhani kama ingekuwa wanapata hasara kama unavyodai wangeendelea?
Ndio umeandika nini afya ya akili tatizo halafu nadhani jua kali sana watu mnadata🤣🤣🤣🤣
 
Wewe una roho mbaya sana mkuu🤣
Wala sio roho mbaya , kamuulizr MO chuma cahakavu anachokusanya Malawi anapeleka wapi uje hapa useme, au muulize mahindi anayoiza wfp sudani na uarabuni dili alipataje ndio uje hapa, ni codes Tu na ndio maana familia tajiri nchi zote ni zilezile wewe mwenzangu na Mimi ukipata mchongo ukitoa Siri unazungukwa bila kujua watu wanapanda dau biashara haina huruma
 
Back
Top Bottom