Akili gani hii mtu ananunua costa milion 100 kwa ajili ya kupewa laki 1 kwa siku

Huyu ana tofauti gani na mtu anayejenga nyumba ya sh.mil.300,halafu anapangisha kodi laki 5 kwa mwezi,kwa mwaka mil.6 na mpk hela irudi itachuka miaka 50,then aanze kutengeneza faida...?
Ebu ngoja kwanza ujenge nyumba Ya 300M alafu upangishe laki 5 kwa mwezi it doesnt make sense!

Tuseme itakuwa na frame ni hoteli inavyumba 10 Kila chumba ni laki 1 it means ni 1M perday alafu maybe kuna bar na cafe humo humo tuseme anafunga mauzo yake maybe laki mbili
au basi labda Cafe na bar kapangisha watu 250k na bar 250k kwa mwaka anapiga 10M hyo milion 300 kwa miaka 30 hapo ndo ataanza kucalculate faida
 
Huyu ana tofauti gani na mtu anayejenga nyumba ya sh.mil.300,halafu anapangisha kodi laki 5 kwa mwezi,kwa mwaka mil.6 na mpk hela irudi itachuka miaka 50,then aanze kutengeneza faida...?
Ebu ngoja kwanza ujenge nyumba Ya 300M alafu upangishe laki 5 kwa mwezi it doesnt make sense!

Tuseme itakuwa na frame ni hoteli inavyumba 10 Kila chumba ni laki 1 it means ni 1M perday alafu maybe kuna bar na cafe humo humo tuseme anafunga mauzo yake maybe laki mbili
au basi labda Cafe na bar kapangisha watu 250k na bar 250k kwa mwaka anapiga 10M hyo milion 300 kwa miaka 30 hapo ndo ataanza kucalculate faid
 
Wewe ndio unajua biashara/uwekezaji.
Mtu mwenye uwezo wa kutoa milioni 100 mfukoni means ana biashara zingine pia zinazomletea pesa.
Uzi ufungwe
 
Hio ni sawa na mtu awekeze $42197.16 ili apewe $42 kila siku! Hio hela kwa forex ni faida za kufa mtu kila siku😂
 
Hio million 100 kwa mlengaji anaweza kujaza yard ya magari😂! Zile za 5M-8M za kuuza 9M-11M tu. Mzunguko unakuwa wa uhakika.
 
Watu kama wewe hamfai kwenye jamii kazi yako ni kumlaumu na kukosoa toa mawazo nini kifanyike hapo sio kuona udhaifu tu peke ake ujue biashara ni Pana mzee

1.kuna biashara za MSIMU mfano za utalii, uniform za watoto, mazao mbali mbali hizi zinakupa hela nyingi mara moja then unatulia, kuna hardware kama matank ya maji, biashara ya magari makubwa hizi hazikupi hela Kila siku

2.kuna biashara ambazo inabidi uwekeze hela nyingi mwanzoni Ila pesa yako inarudi kidogo kidogo kwa miaka mingi mfano.hizi za usafirishaji, real estate, uwekezaji wa hisa kwenye kampuni mbali mbali, biashara fuel station, biashara ya ukumbi



3. Kuna biashara ambazo faida ni papo kwa hapo ni wewe tu speed yako kuuza na location nzuri mfano bucha, biashara ya vyakula, biashara ya, za urembo wa Aina zote, biashara Za service kama vile u-Mc, ushauri,Muziki n. K n. K

Sasa maamuzi ni yako











 
Sasa mkuu kwahyo wengine tukaajiriwe kwanza alafu baadae ndio tuwekeze🤣au Maana ni kamzozo
 
Bora huyu kuliko yule wa nyumba za kupangisha walahi.

Milioni mia kwa mwezi analamba laki mbili na Nusu.
 
Bora huyu kuliko yule wa nyumba za kupangisha walahi.

Milioni mia kwa mwezi analamba laki mbili na Nusu.
Nyumba haina hasara mkuu hadi wajukuu wataikuta watu wana jenga nyumba za kotazi mzee kwa 2B nao useme ni wajinga
 
Wewe ni mpuuzi tu wa kawaida sema ndo hivyo tunakupa contents tu. Mada zako zote ni kuponda biashara za watu bila option B. Saa si ni upumbavu wa kawaida huu kama mwingine. Mtoto wa kiume wenzio wameweka pesa umekaa darajani hapo unaanza kuwaponda, kama sio uzwazwa ni ni mkuu??

Behave...!!!
 

Tunaongelea faida.

Mkopo wa milioni mia ukiweka kwenye gari na nyumba..nani atawahi kurudisha?
Gari
 
Hivi Kwa akili yako unadhani kusingekuwa na faida Kuna mtu angepambana na biashara kichaa!
 
Unaweza hata kukaa mwenyewe....Kuna dogo alikuwa nayo akamweka family member alikuwa anashuka 200k mpaka 150k...na yalikuwa ma Tata used kwa 40 alichukua...MTU akinunua gari mpya NI sawa tu...hata hio 100k sio mbaya NI kipato Cha ziada miaka 3 annarudisha fedha yake alafu analiuza 40milion ndio FAIDA yake...ukiipata dereva mzuri miaka mitatu kwa gari mpya inakuwa bado kinanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…