Akili gani hii mtu ananunua costa milion 100 kwa ajili ya kupewa laki 1 kwa siku

Unarahisisha tu mambo sio
 
Wengine wakiona hawana kazi wananzisha uzi wa kipuuzi tu ila apate Antention
 
Ukichunguza sana biashara,huwez fanya biashara

Huku kwetu kuna watu wanafanya biashara ya vibanda umiza mpaka unaweza ukashangaa

aNanunua flat tv 3 za inch 55 mpaka 60
Anachonga bechi za mbao au chuma ukumbi mzima
Anajenga jengo
Genereta la laki 5
Bei ya kiingilio 500 kwa wiki anaingiza 60,000 kwa mwezi 240,000

Ukipiga hesabu pesa iliyotumika hapo ni kama 10mil
 
Coaster milion 100? Kuwa serious
 
Biashara kichaa,kuna jamaa alinunua eacher milion themanini mwaka 2016,anajuta hadi leo
 
Hana akili. Huyo ngoja siku hizo flati ziungue zote 3 ndio akili itamkaa sawa Kuna mwenzake huku zimeuungua zote 2 nch 75 Kila moja Kawa kama kadata
 
Biashara nyingi hufanywa vema na watu wasiopigapiga mahesabu na kujidai wana shule vichwani mwao.Biashara haitaki cos,tan wala f(x).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…