Akili kumi za kumteka mwanamke

Sasa hayo mambo yote unayafanya ili TU mwanamke akae katika ndoa? Nafikiri binaadam Bado hawajagundua kusudi la wao kuja kuishi duniani.
Hivi unajua hakuna amri kuu duniani zaidi ya mahusiano!kusudi mojawapo la kuishi ni kutengeneza mahusiano mazuri na M-ngu, wazazi,ndugu,mke,mume na watu wengine,au Kuna kusudi lipi lingine?
 
Madini sana. Ujuzi sana. Saluti. Umeongea hoja nzito. Namalizia kitabu changu kuhusu haya maisha ya ndoa. Bila shaka nitafanya reference (with aknowledge) katika kanuni hizi kumi.

Najua wanawake wanajua kuwa wanaume (waume) hutangulia kufa. Binafsi naamini katika kumweka wazi kuwa sihofii kufa hata wakati wowote. Akiamua kunistress na afanye hivyo muhimu nijaliwe kifo chema. Muhimu niondoke katika dunia hii ningali na nguvu zangu (80 - 85 yrs πŸ™) ili nisimsumbue mtu. Nikiwa na confidence hii na nikimweleza wazi, hasa pale zinapotokea changamoto, naamini kabisa kuwa mwanamke huyu atajua kuwa huyu mwanaume anajiamini. Hakuna cha kumfanya ahofie ahera
 
Inaonekana wewe ni mwanazuoni ...may be PHD au Profesa flani uchwara...hauwajui wanawake..tafuta hela kwanza
 
Umeniacha hapo kwenye kuwa muwazi(transparent) halafu eti pia ufanye mambo makubwa bila kumwambia, Sasa nini point ya kuwa muwazi.
Kama tayari umekuwa unpredictable Kwa kufanya mambo makubwa bila kumwambia au unamwambia katika muda utakaokupendeza wewe ,tayari hamna uwazi hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…