Akili ya BMW kwenye Magari

Hakuna kama ZF baba.
 
Mimi ni mgonjwa wa Mercedes Benz na Range Rover ila tunakoenda naona ntajaribu hii X 4 ni ya kibabe sana ukiiangalia kama X 6 ila yenyewe ndogo kidogo...
 
Attachments

  • IMG-20221102-WA0081.jpg
    111.6 KB · Views: 55
  • IMG-20221102-WA0097.jpg
    121.8 KB · Views: 62
  • IMG-20221102-WA0107.jpg
    109.3 KB · Views: 56
Mimi ni mgonjwa wa Mercedes Benz na Range Rover ila tunakoenda naona ntajaribu hii X 4 ni ya kibabe sana ukiiangalia kama X 6 ila yenyewe ndogo kidogo...
Nimekutana nayo juzi mitaa ya magomeni x4 ni Tamu Sana kimuonekano inaishinda X 5 na X6...Kwa mtanzamo wangu mdogo naona X1 na X4 ndiyo BMW zenye shape nzuri
 
Nimekutana nayo juzi mitaa ya magomeni x4 ni Tamu Sana kimuonekano inaishinda X 5 na X6...Kwa mtanzamo wangu mdogo naona X1 na X4 ndiyo BMW zenye shape nzuri
Ile X 4 ina njaa sana ni gari kweli niliwahi mpelekea mteja Zambia miaka miwili iliyopita nikagundua ipo tofauti sana na hizo zingine pana dada mmoja Arusha alitaka 6 nikawashauri waagize X 4...wanayo hapo Arusha wanashukuru balaa maana chuma yao ilitoka German ni gari kweli...Wazambia wanayajua magari aisee na wanayatumia kweli..
 
Gari za bmw ni za kijinga kwa mazingira yetu iwapo zitavuta nyuma tu. Miaka ya nyuma nilimiliki X3 ambayo ilivuta nyuma tu, Likitu lizito halafu linaendeshwa na tairi mbili za nyuma linakwama sehemu za kijinga sana. Ukweli ni kwamba mbio mbio sijui drift si muhimu sana kwa Watanzania sababu ya barabara zetu. Vijana tu wanalazimisha. Sisi offroad perfomance ni muhimu. Kumiliki gari ambayo uzuri wake unaonekana kwenye lami tu ni shida sana hapa kwetu. Safari yoyote lazima uulize kama hiyo barabara ni lami.
 
Sasa nyumba yako umeijenga ovyo inavuja wakati wa mvua.. Wewe badala ya kurekebisha nyumba unailaumu mvua.. Barabara zenu kuwa mbaya ndio inafanya gari za BMW kuwa zakijinga!!? Tengenezeni barabara au hamia mjini kama wahindi full lami..!
 
Nyuma kama inavuja ni ya kijinga kwenye mazingira ya mvua, inaweza kuwa nzuri kwenye kiangazi ila kwenye mvua ni ya kijinga. Umeelewa lakini nilichosema? Ngoja nirudie:

Gari za BMW ni za kijinga kwa mazingira yetu iwapo zinavuta tairi za nyuma. Za kijinga kwa mazingira yetu, ZA KIJINGA KWA MAZINGIRA YETU. sio huko kwenu ujerumani. Nimesema za kijinga kwa mazingira yetu iwapo ni rear. Sijasema ni gari za kijinga. Nimesema ni gari za kijinga kwa mazingira yetu. Tuelewane hapo.
 
Ok nimekupata.. Ila maelezo yako ndio changamoto sasa.. Yetu ni wapi huko..!!? Halafu Bmw X3 zipo generations nyingi.. X3 ni equipped na all wheel drive.. Unasemaje inapush nyuma tuu..!!?
Cheki facts zako vizuri kabla ya kurudi huku..
 
2007, X3 nilikuwa nayo ilikuwa ya diesel haikuwa AWD. Sijajua ilikuwa ni fault au ndivyo ilivyotengenezwa ila ilikuwa inaweza kukwama sehemu ya kijinga kweli na ilivyonzito kuitoa ilikuwa kazi. Ndo maana nikasema kwa mazingira yetu gari kuwa rear wheel halafu SUV na nzito vile ni ujinga.
 
Pole yako.. E83 zote zina 4wd.. Inaweza kuwa fault kama ulivyosema..
Halafu sio BMW peke yao wanaotengeneza gari za Rwd.. Gari za kampuni nyingi ni kupush nyuma.. Canter.. Coaster.. Hiace.. Pickups.. Zote hizo ziwe za kijinga!! Angalia jinsi zinavyofanya kazi kwenye ujenzi wa Taifa..!
Kukwama kupo tuu.. Ni kubeba mirunda na kamba ya kutokea..
 
Kukwama kupo tuu.. Ni kubeba mirunda na kamba ya kutokea..
Hahaha..

Tukiachana na gari kubwa, Toyota sio nzito kama BM. Hata Noah naona zipo rear ila wafu wawili watatu mnapush unatoka.
 
Umewahi kumiliki BMW au story?
 
Mimi ni mgonjwa wa Mercedes Benz na Range Rover ila tunakoenda naona ntajaribu hii X 4 ni ya kibabe sana ukiiangalia kama X 6 ila yenyewe ndogo kidogo...
Mkuu salam zako, nataka kuagiza Mercedes C200 Compressor. Naomba Specs pls na ushauri pls.
 
Hahaha..

Tukiachana na gari kubwa, Toyota sio nzito kama BM. Hata Noah naona zipo rear ila wafu wawili watatu mnapush unatoka.
Sure aisee.. Chuma kizito.. Umenikumbusha siku gari ilikwama.. Wadau(bodaboda) wakasema tutaibeba kama Harrier tulivyoibeba juzi.. Aisee tulihangaika.. Gari hainyanyuki.. pona yetu kuna gari ya breakdown ilikatisha mitaa hiyo ndio ikatuvuta..!
 
Ok nimekupata.. Ila maelezo yako ndio changamoto sasa.. Yetu ni wapi huko..!!? Halafu Bmw X3 zipo generations nyingi.. X3 ni equipped na all wheel drive.. Unasemaje inapush nyuma tuu..!!?
Cheki facts zako vizuri kabla ya kurudi huku..
Sio mtaalamu wa haya magari ingawa ninayo X3, 2.5. Ina 4w inajibadilisha automatic kulingana na mazingira ya barabara. Swali linalonisumbua ni kwenye Dashboard inaonyesha 5.7km/L.
Kwa uelewa lita moja unaenda km 5.7.
Nafikiria nirudi kwenye IST. Nsombeni Ushauri
 
Yes upo sahihi.. 4wd inaangalia mazingira..
Hahaha ukihama utasave mafuta ila utapoteza vingine..
Hiyo ni estimation ya kwenye gari.. Inaweza kuwa na makosa kidogo..
Jaribu kujaza tank then tembea umbali kadhaa na urekodi umeenda umbali gani.. Then rudi kujaza tank tena uangalie umetumia litres ngapi.. Fanya mahesabu yako ya km/l uone..
Then kama kuna tofauti unatafuta correction factor.. Unaiweka kwenye system ya gari.. Inakuwa accurate hapo..not sure sana jinsi ya kuiweka correction factor ila najua kuna kitu kama hicho..!
 
Unasemea used, maana BMW, Toyota, and other company hawategemei kuuza magari africa
 
Mkuu salam zako, nataka kuagiza Mercedes C200 Compressor. Naomba Specs pls na ushauri pls.
Mkuu hizi gari unaenda goggle wewe ndio unaangalia unayoitaka kutokana na mwaka na mfuko wako kwenye Kodi hizo gari hazisumbui na ukinunua parts yake inadumu kwa muda mrefu wakati kwa gari ingine ushanunua mara kadhaa na matumizi ya mafuta ipo kawaida na ni gari ina balance sana bara barani pamoja na confort ipo humo..hizo gari ni kuzingatia upate ya kuanzia 2010 kuja mbele sio iwe muda zaidi utaikuta baada ya muda kidogo inahitaji matengenezo hayo unayoyasikia humu..
 
Unasemea used, maana BMW, Toyota, and other company hawategemei kuuza magari africa
Aisee unatakiwa utembee uone..
BMW anaplant yake hapa Africa..
Toyota Landcruiser katika moja ya models zake anayo African Specification..
Unajua Africa ni kubwa..!!? Nchi zaidi ya 50..huko kote wakose market..!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…