PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
HAO jamaa ni Noma kwenye gear box zao za DSGUsisahau VW Tiguan ndo best seller mid-SUV europe
Hawa VW ndo walimzaa Audi na Automobiles maker nyingi tu duniani.wakongwe ni untouchable [emoji1477]
HAO jamaa ni Noma kwenye gear box zao za DSG
Porsche na Skoda wanatumia hayo majiko ya DSG alafu yenyewe yanatumia dual clutch plate ndiyo maana Volkswagen magari yanaanzia six speed transmissionAsee nasikia hata porshe wanatumia hili jiko la DSG
DSG na PDK ni sawa.?Asee nasikia hata porshe wanatumia hili jiko la DSG
Porsche inamilikiwa na Volkswagen hata hizo Pdk transmission ni zao la DSG japokuwa hizo Pdk ziko faster Ila hawa wote ni ndugu mojaDSG na PDK ni sawa.?
VW Group huyo unaweza kusema untouchable.. Anabrands nyingi ndani yake.. Hizo brands zimecover vipengele almost vyote.. Kuanzia performance mpaka luxury..Usisahau VW Tiguan ndo best seller mid-SUV europe
Hawa VW ndo walimzaa Audi na Automobiles maker nyingi tu duniani.wakongwe ni untouchable [emoji1477]
Nimesoma makala Fulani mtandoni nimepata elimu kubwa Sana juu ya BMW,Kwa kifupi hawa BMW hawana wapinzani kwenye engine Kwa magari yote ya kijerumani.VW Group huyo unaweza kusema untouchable.. Anabrands nyingi ndani yake.. Hizo brands zimecover vipengele almost vyote.. Kuanzia performance mpaka luxury..
Ila VW kama brand hiyo bado..
Haijafika level ya engines kama za BMW..
Haijafika level ya interior na luxury kama Mercedes..
Perfomance section yao R bado ni changa ukilinganisha na M ya BMW na AMG ya Mercedes..!
Wanajikongoja..!
VW kama brand haina uwezo wa kukaa meza moja na BMW au Mercedes..!
Audi kwenye VW Group ndio anajitahidi kwenda sawa na hao giants..
BMW 7 Series anakaa meza moja na Benz S Class wakipiga stori huku Audi A8 yupo jikoni akisikiliza conversation ya hao giants..!
Where is Porsche in all this?VW Group huyo unaweza kusema untouchable.. Anabrands nyingi ndani yake.. Hizo brands zimecover vipengele almost vyote.. Kuanzia performance mpaka luxury..
Ila VW kama brand hiyo bado..
Haijafika level ya engines kama za BMW..
Haijafika level ya interior na luxury kama Mercedes..
Perfomance section yao R bado ni changa ukilinganisha na M ya BMW na AMG ya Mercedes..!
Wanajikongoja..!
VW kama brand haina uwezo wa kukaa meza moja na BMW au Mercedes..!
Audi kwenye VW Group ndio anajitahidi kwenda sawa na hao giants..
BMW 7 Series anakaa meza moja na Benz S Class wakipiga stori huku Audi A8 yupo jikoni akisikiliza conversation ya hao giants..!
Power output ya engines za BMW zinakuwa understated. Ukiona imeandikwa 350hp ongeza 50hp nyingine ndo true output power.Nimesoma makala Fulani mtandoni nimepata elimu kubwa Sana juu ya BMW,Kwa kifupi hawa BMW hawana wapinzani kwenye engine Kwa magari yote ya kijerumani.
BMW ni zaidi ya Volkswagen Kwa mambo mengi hata kwenye budget ya kufanya research BMW ndiyo kampuni inaongoza Kwa kifupi hawa ni level nyingine kabisaa
Hawa jamaa wapo sayari nyinginePower output ya engines za BMW zinakuwa understated. Ukiona imeandikwa 350hp ongeza 50hp nyingine ndo true output power.
VW Group huyo unaweza kusema untouchable.. Anabrands nyingi ndani yake.. Hizo brands zimecover vipengele almost vyote.. Kuanzia performance mpaka luxury..
Ila VW kama brand hiyo bado..
Haijafika level ya engines kama za BMW..
Haijafika level ya interior na luxury kama Mercedes..
Perfomance section yao R bado ni changa ukilinganisha na M ya BMW na AMG ya Mercedes..!
Wanajikongoja..!
VW kama brand haina uwezo wa kukaa meza moja na BMW au Mercedes..!
Audi kwenye VW Group ndio anajitahidi kwenda sawa na hao giants..
BMW 7 Series anakaa meza moja na Benz S Class wakipiga stori huku Audi A8 yupo jikoni akisikiliza conversation ya hao giants..!
Kumbuka VW is owned by Porsche hata kama Porsche ipo chini ya VW group.VW Group..!
Kuna Porsche SE..Kumbuka VW is owned by Porsche hata kama Porsche ipo chini ya VW group.
Sio kweli tukinunua gari za zamani ndio zinasumbua ila brand yeyote iwe ya miaka ya katibuni hata 2010 kuja mbele sio una gari ya 2002 unakuja kulalamika matatizo yake unawezaje kukosa matatizo hapo...Unaponunua gari angalia mahitaji yako. Usifuate mkumbo, Kuna watu wanasifia walichonacho hata kama wanateseka.
Pia, gari inaweza kuwa nzuri kwa mtu mmoja ikawa ya kijinga kwa mtu mwingine.
Wrangler ni gari ila parts zake zipo juu hata huko SA ndio maana ikiwa na shida kidogo tuu watumiaji wanauza tena kwa bei ndogo...ila ikiwa haina tatizo huwezi kuigusa maana ni moja ya magari mikataba hayo...Na kitu kingine jeep Wrangler
✅Sure thing