Akili za hawa machawa kuanzia Manara, Baba Levo , Mwijaku wana IQ ndogo sana.

Akili za hawa machawa kuanzia Manara, Baba Levo , Mwijaku wana IQ ndogo sana.

Kwahiyo ndo umemaliza hivyo au unarudi?? Mbona sasa wewe ndo umeonesha una IQ ndogo kuliko wao.

1. Wanajua wanachokifanya,
2. Wanachokifanya kinawalipa,
3. Hawajavunja Sheria za nchi,
4. Wanatumia uhuru wao wa kutoa maoni,

Tumia njia wanazozitumia wao au unazoona wewe zinakufaa kufikisha ajenda Yako kwa jamii na sio kuwalalamikia wakati hawajakufunga akili wala mwili kufanya unachoona kinafaa
 
Mfano huyo mwijaku kagonganisha Magari

Hao mabinti watasimamishwa chuo Kama adhabu .

Kiufupi kaharibu Sana.
 
Akili za hawa machawa kuanzia Manara, Baba Levo , Mwijaku wana IQ ndogo sana.
IQ yako unayodhani inazidi IQ za hao chawa inakuingizia kiasi gani na zao ndogo zinawaingizia kiasi gani, nadhani tuanzie hapo ili tubaini faida na hasara za kuwa na IQ(kubwa au ndogo). Literally these dudes know what they’re doing, the end is what justifies the means.
 
Hayo ni majanja kuliko unavyodhani.
Halafu hiyo Iq unaipima kwa vigezo gani? Maongezi yao, mizaha yao, au matokeo

Kwanza IQ ni kipimo cha kupimia watoto wa shule kwenye formal learning institutions....
 
Back
Top Bottom