Akili za umasikini: Bajeti ya Elimu $5B, lakini bajeti ya Kilimo in $500M

Akili za umasikini: Bajeti ya Elimu $5B, lakini bajeti ya Kilimo in $500M

Fungua uzi mwngine wa irrigation scheme tuje tuupige na chini pia[emoji23][emoji23][emoji23]Amekimbia mada yake ya bajeti[emoji23][emoji23][emoji23]
Ananga akili huyo. Ni class five drop out.
 
Kumbe naargue na baboon na sijui? Good day jellyfish.
Mimi ninajua kwamba ninachat na "Monkey" kama wachina walivyowaita wakenya. Ninyi ni nyani tu, ndio sababu POLISI wenu wanawawinda na kuwaua kila siku
 
We are proud of being multilingual. We can speak both languages.

Wacha kupotelea thread. Tanzania agricaltural budget ni $98mil , education budget ni$565 ...tofauti na kenya iko wapi .
Kenya agri=$500mil
Education:$5bil

Clearly the Tanzanian government also values education juslt like the Kenyan government.
@tuusan njoo hapa,wewe ndio ulikuwa unauliza mbona middle income country inakopa pesa ya miradi .ukiangalia budget ya kenya ya elimu pekee ni zaidi ya mara kumi ya Tanzania ivi mfano tungeamua tutenge usd 500,mln tungebaki na change $4.5bn iyo pesa pekee iko na sgr mzima kutoka dar Hadi Kigali....
 
Hamjajipanga sawasawa iyo budget ya elimu Tz kumbuka watoto wa pr sch and ordinary level hawalipiwi ada na bado watoto wa university wenye sifa wanapewa mikopo kama kawaida,Na bado mambo mengine yanaenda kwa ufanisi

Labda uniambie iyo budget ya $5B Je kila shule Kenya inakila kinachohitajika kulingana na ukwel kwamba iyo pesa ni nyingi sana

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
@tuusan njoo hapa,wewe ndio ulikuwa unauliza mbona middle income country inakopa pesa ya miradi .ukiangalia budget ya kenya ya elimu pekee ni zaidi ya mara kumi ya Tanzania ivi mfano tungeamua tutenge usd 500,mln tungebaki na change $4.5bn iyo pesa pekee iko na sgr mzima kutoka dar Hadi Kigali....
[emoji23][emoji23] finish that ccm tentacle
 
And we have been spending more money on education toka kitambo..
sio miradi hewa kama Struggling George
Screenshot_20200624-224153.jpg
 
@tuusan njoo hapa,wewe ndio ulikuwa unauliza mbona middle income country inakopa pesa ya miradi .ukiangalia budget ya kenya ya elimu pekee ni zaidi ya mara kumi ya Tanzania ivi mfano tungeamua tutenge usd 500,mln tungebaki na change $4.5bn iyo pesa pekee iko na sgr mzima kutoka dar Hadi Kigali....
Bajeti ya elimu kenya inajenga sgr jiwe mpka kigali na inabaki change[emoji23][emoji23]
 
Mbona kwenu mlijengewa pesa za mikopo ilhali pesa mnazo? Ndio maana mnatumia mitungi ya mbege na hamuwez hata kuongea

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Why take the risk of people getting stupid for some rails & concrete on the ground. Wacha mradi ukope na ujilipe wenyewe.
Kodi ya Wakenya inatumika kuwaelimisha.
For your information development starts from the mind.

Nyinyi wabongo sijui serikali yenu hufikiria aje but anyways kila nyani na starehe zake.
 
Watoto wanasoma na ufaulu unaongezeka wewe piga domo
 
Watoto wanasoma na ufaulu unaongezeka wewe piga domo
Kwa mdomo na kukurupuka kwako pekee lakini facts kwa meza zinakataa hiyo.
Ata kutoka hapa Jf utaona tu elimu na uwezo wa kufikiria wa watanzania ni finyu.
 
Kwa mdomo na kukurupuka kwako pekee lakini facts kwa meza zinakataa hiyo.
Ata kutoka hapa Jf utaona tu elimu na uwezo wa kufikiria wa watanzania ni finyu.
Uwezo wa kifikiri?iyo inaweza isihusiane sana na elimu
 
Wewe tayari unaprove point Yangu. Bye.
Hey,nenda na usirudi tena ila wakat unaenda chukua hii,unaweza kua unafikiria sana ukatoka na suluhu ya matope na ukafikiri kidogo ukatoka na suluhu bora zaidi!!endeeleni kufikiri mnavyoweza tutakutana kwenye matokeo!!
 
Bajeti ya elimu kenya inajenga sgr jiwe mpka kigali na inabaki change[emoji23][emoji23]
Lakini imeshindwa kumalizia kipande cha Naivasha hadi Malaba, akili hizi zinapatikana Kibera pekee
 
Hahahaha,
1) Mikopo yenye riba nafuu, au isiyo na riba kwa wakulima
2) Kuwekwa miundombinu ya umwagiliaji maji, hasa katika sehemu zenye jangwa
3) Kuchimba Visima na mabwawa kwa ajili ya mifugo na KILIMO
4) Kuweka ruzuku kubwa katika mbolea, mbegu, dawa na zana zingine za ufugaji na KILIMO
5) Kununua mazao ya wakulima(hasa ya Chakula) pale ambapo bei ya mazao yao ipo chini ili kuwaepusha na hasara.
6) Kuhakikisha maghala ya Taifa yananunua na kuhifadhi Chakula cha kutosha muda wote.

Kama kweli Serikali ya Kenya inazingatia na kutoa kipaumbele uchumi na maisha ya wajenya wa hali ya chini, hiyo $5B ingepeleka kwenye KILIMO, zaidi ya wajenya 25M wangesaidika, wangeweza kuinua vipato vya familia zao na kuweza kugharimia Elimu ya watoto wao.

Kilimo kibaathiri sector zingine zote "directly" and within very short time.
Vipi haya yote yanafanyika Tanzania?
 
Vipi haya yote yanafanyika Tanzania?
90% yanafanyika, ndio sababu nchi inazalisha Chakula kuweza kuwalisha majirani, mazao yanayozalishwa ni rahisi ukilinganishwa na yanayozalishwa nchi za Jirani.
 
90% yanafanyika, ndio sababu nchi inazalisha Chakula kuweza kuwalisha majirani, mazao yanayozalishwa ni rahisi ukilinganishwa na yanayozalishwa nchi za Jirani.
Una uhakika ni jitihada za serikali au wajasiriamali wanajitoa wenyewe tu??

Tunavyoongea Bei ya sesame seeds (Ufuta) ni 1500, kitu ambacho Bei haijawahi kuwa chini ya 2200 kwa karibu muhongo mmoja sasa. Kwenye hiyo post niliyoku'quote umesema serikali inunue mazao ili wakulima wapate bei nzuri. Sasa hauoni kama it's high time now GoT inunue ufuta walau kwa 2000 na ilipe kwa wakati ili kuwapunguzia hasara wakulima??
 
Back
Top Bottom