Black Label
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 432
- 553
Kuna udumavu wa akili kuanzia kwa viongozi hadi wananchi...na hii inatokana na elimu inayotolewa, kutukuza kiswahili na kutosisimua udadisi, nkUna hoja.. ila nadhani haya mambo yangeweza kurekebishika ikiwa wenyeviti wa mitaa ambao ndio huwa wanasimamia uuzwaji wa viwanja wangekuwa kidogo na elimu.
Ila shida unakuta wenyeviti wa mitaa wameishia lasaba.. kwahiyo uwezo wa kuelewa kwamba mpangilio ni muhimu kuwepo.. kwake ni shida