Akili za watanzania wengi bado hazipo tayari kupata maendeleo

Kuna udumavu wa akili kuanzia kwa viongozi hadi wananchi...na hii inatokana na elimu inayotolewa, kutukuza kiswahili na kutosisimua udadisi, nk
 
Kuna udumavu wa akili kuanzia kwa viongozi hadi wananchi...na hii inatokana na elimu inayotolewa, kutukuza kiswahili na kutosisimua udadisi, nk
Mimi nadhani hata wakifundishwa kwa kiswahili wataelewa tu.. sidhani kwamba msingi wa tatizo ni lugha ya kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…