Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Single mother again?Kaka mmoja hapa mtaani alioa mwanamke mwenye Watoto Wawili wa Baba Mmoja, huyo mwanamke Aliachana Na MUME Wake kipindi Watoto Wakiwa Wakubwa tayari wameanza shule, baada ya kuachana na mume wake Akaolewa Na huyu kaka wa hapa mtaani, kaka ana pesa Kiasi.
Jana Mke Kaumwa Sana ikapekea akalazwa Hospital , akiwa hospital Akampa Taarifa Mzazi Mwenzake (yule waliyeachana) Kisha Mzazi mwenzake Akaenda Na Watoto Hospital Kumjulia Hali pale hospital.
Mume Wake Alijiskia Vibaya Sana kuona Yule Mwanaume anamtembelea mke wake, Mke Akamwambia Mume Wake Naomba Utupishe Kidogo Nina Maongezi Na Mzazi Mwenzangu, kaka Alitoka Nje na Hakurudi Tena Pale Hospital, Hadi Leo na inasemekana kaka Kaenda Dar es Salaam na Hana mpango WA kurudi Tena mana hapa mtaani haonekani tena.
My Take
Chambueni
Anakasirika nini na ni maongezi ya kifamilia? Japo hadithi imekaa kama uongo.Kaka mmoja hapa mtaani alioa mwanamke mwenye Watoto Wawili wa Baba Mmoja, huyo mwanamke Aliachana Na MUME Wake kipindi Watoto Wakiwa Wakubwa tayari wameanza shule, baada ya kuachana na mume wake Akaolewa Na huyu kaka wa hapa mtaani, kaka ana pesa Kiasi.
Jana Mke Kaumwa Sana ikapekea akalazwa Hospital , akiwa hospital Akampa Taarifa Mzazi Mwenzake (yule waliyeachana) Kisha Mzazi mwenzake Akaenda Na Watoto Hospital Kumjulia Hali pale hospital.
Mume Wake Alijiskia Vibaya Sana kuona Yule Mwanaume anamtembelea mke wake, Mke Akamwambia Mume Wake Naomba Utupishe Kidogo Nina Maongezi Na Mzazi Mwenzangu, kaka Alitoka Nje na Hakurudi Tena Pale Hospital, Hadi Leo na inasemekana kaka Kaenda Dar es Salaam na Hana mpango WA kurudi Tena mana hapa mtaani haonekani tena.
My Take
Chambueni
Alimradi Tu awakandie single mama!Fictious story.
Anajichosha tuAlimradi Tu awakandie single mama!
Kama ni scenario ya kweli hakupaswa hata kuombwa, ilitakiwa awapishe kabla ya kuombwa, awape faragha ya mazungumzo sababu na watoto walikuwepo.Hapo kwenye utupishe kidogo hapo ndo penyewe
Kubabek zake huyo Mwanamkekaka Alitoka Nje na Hakurudi Tena Pale Hospital, Hadi Leo na inasemekana kaka Kaenda Dar es Salaam na Hana mpango WA kurudi Tena mana hapa mtaani haonekani tena.
Mwenyekiti tujadili kuhusu Chaputa gang tuKATAA SINGO MAZA
SINGO MAZA NI LAANA
Tangu lini umeanza kua single mother wa watoto wawili?Anajichosha tu
NakaziaMwenyekiti tujadili kuhusu Chaputa gang tu
Labda anatumiwa AI kwenye kufikiri mpaka lishtuliwe.Kama ni scenario ya kweli hakupaswa hata kuombwa, ilitakiwa awapishe kabla ya kuombwa, awape faragha ya mazungumzo sababu na watoto walikuwepo.
Wanahitaji faragha gani? Ya nini?Kama ni scenario ya kweli hakupaswa hata kuombwa, ilitakiwa awapishe kabla ya kuombwa, awape faragha ya mazungumzo sababu na watoto walikuwepo.