Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
ndio nishakuwa sasa!Tangu lini umeanza kua single mother wa watoto wawili?
ndio nishakuwa sasa!Tangu lini umeanza kua single mother wa watoto wawili?
unachokaje sasa kuna little boy mmojawapo ni wako au amepotea?Kuna sehemu napitaga nakutaga bango limeandikwa -proudly single mother with 3 handsome little boys, hua nachoka kabisa
😁😂😆😅😍😄😃🤣🤪😊(🚀🚀🚀)KATAA SINGO MAZA
SINGO MAZA NI LAANA
Mambo ni mengi sana. Hata faragha ya kumwambia mama yao wanampenda.Wanahitaji faragha gani? Ya nini?
Hakuna kitu kama hicho. Hii ni kampeni tu inayoenezwa dhidi ya wanawake wenye watoto, watoto kumwambia tu kuwa wanampenda ndio wapishwe? Lakini pia inategemea msimamo wa mwanamke. Unatakiwa usikubali mumeo aonekane mdogo mbele ya mzazi mwenzioMambo ni mengi sana. Hata faragha ya kumwambia mama yao wanampenda na wamemiss kuwa pamoja.
Sikia mkuu, ukioa mwanamke mwenye historia ya watoto, nyakati kama hiyo lazima uwe na kifua cha kuheshimu hizo nyakati.
Tena hapo ni ugonjwa, usiombee wampoteze mtoto wao. Mkeo anaweza akalia hadi kamasi akimuona baba mtoto. Na sio kwamba anakusaliti, ila historia haifutwi na ndoa uliyofunga nae.
Hakuna udogo wowote kwenye kuwapa watu wenye historia yenye matunda mema kama kuwa na watoto faragha isiyo na viashiria vya uzinifu au maadili mabovu.Hakuna kitu kama hicho. Hii ni kampeni tu inayoenezwa dhidi ya wanawake wenye watoto, watoto kumwambia tu kuwa wanampenda ndio wapishwe? Lakini pia inategemea msimamo wa mwanamke. Unatakiwa usikubali mumeo aonekane mdogo mbele ya mzazi mwenzio
Mke amelazwa, wanaongea nini na huyo alizaa nae?Kama ni scenario ya kweli hakupaswa hata kuombwa, ilitakiwa awapishe kabla ya kuombwa, awape faragha ya mazungumzo sababu na watoto walikuwepo.
Kwani ulikuwepo wakati wanatengeneza watoto? Je kama kuna masharti ya mganga walipewa wamekiuka ndo mkeo anaumwa sasa wanataka wamuague usibaki mgane?Mke amelazwa, wanaongea nini na huyo alizaa nae?
Kwamba wakati akiwa mzima hawakuwa na la kuongea kwa siri mpaka ameumwa ndo kuwepo la kuongea mpaka jamaa awapishe waongee wenyewe?
Kwamba dawa anayo huyo aliyezaa nae na hakumshirikisha Jamaa wa sasa?Kwani ulikuwepo wakati wanatengeneza watoto? Je kama kuna masharti ya mganga walipewa wamekiuka ndo mkeo anaumwa sasa wanataka wamuague usibaki mgane?
Mashindano hata hayatakiwi kuwepo, watu ambao hawako pamoja hawahitaji faragha yoyote kama hakuna kibaya kinachoendeleaHakuna udogo wowote kwenye kuwapa watu wenye historia yenye matunda mema kama kuwa na watoto faragha isiyo na viashiria vya uzinifu au maadili mabovu.
Kumbuka, ukishaanza tu kushindana na mwanaume mwenzio nani zaidi ujue ushashindwa.
Mkuu, ni ubabe unaosababishwa na wivu tu kuwanyima nafasi ya kujumuika pamoja bila uwepo wako hapo hospitali.Kwamba dawa anayo huyo aliyezaa nae na hakumshirikisha Jamaa wa sasa?
Dah aisee inahitaji uvumilivu wa chuma cha pua.Mkuu, ni ubabe unaosababishwa na wivu tu kuwanyima nafasi ya kujumuika pamoja bila uwepo wako hapo hospitali.
Kwani ukiwapa nafasi wakazungumza nini unachoogopa kitatokea? Hahaha.
Faragha ni ya mambo mabaya tu? Embu niambie jambo gani baya wazazi walioachana wakikaa na watoto wao pamoja kwenye chumba cha hospitali bila uwepo wa mume?Mashindano hata hayatakiwi kuwepo, watu ambao hawako pamoja hawahitaji faragha yoyote kama hakuna kibaya kinachoendelea
Faragha gani inahitajika hospitalini. Hapo watu si wanakuja kutoa pole tu. Huyo jamaasio sehemu ya familia ndio maana akaambiwa aende nje. Meanaume unatakiwa kuanzisha familia yako, sio kudandia kwenye familia ambayo tayari ishaanxishwa na mwanaume mwingineKama ni scenario ya kweli hakupaswa hata kuombwa, ilitakiwa awapishe kabla ya kuombwa, awape faragha ya mazungumzo sababu na watoto walikuwepo.
Hahaha. Sasa uvumilivu gani? Kwani wakati unamuoa hukujua kuwa anaweza akaumwa akatembelewa na mzazi mwenzake na wanae?Dah aisee inahitaji uvumilivu wa chuma cha pua.
Mpaka kuoa single mother ndo uvumilivu wnyw huo tayrHahaha. Sasa uvumilivu gani? Kwani wakati unamuoa hukujua kuwa anaweza akaumwa akatembelewa na mzazi mwenzake na wanae?
Ofcourse kwenye kundi hilo huvai kofia ya familia, ndo maana unawapisha.Faragha gani inahitajika hospitalini. Hapo wafu si wanakuja kutoa pole tu. Huyo jamaasio sehemu ya familia ndio maana akaambiwa aende nje. Meanaume unatakiwa kuanzisha familia yako, sio kudandia kwenye familia ambayo tayari ishaanxishwa na mwanaume mwingine