Akimbia Hospitali baada ya mkewe ‘singo maza’ kutembelewa na mzazi mwenzie

Akimbia Hospitali baada ya mkewe ‘singo maza’ kutembelewa na mzazi mwenzie

Scenario imeletwa kipande kidogo sana cha maisha ya hiyo ndoa!
Naona issue ni ya kushitukiza, kaumwa kamuita X wake.
Tuchukulie hivyo, unamlindaje hapo bila kujaa jazba kwanza na kufura kama kifutu?
Ndo maana nikasema hakupaswa kuombwa kutoka, sababu yeye ni back end, hata akitoka, hana hofu na front end sababu anajua vyote vitakavyoendelea si vya kutia mashaka, mzazi mwenza wa mkewe ni front end anaona display tu.

Sasa kama yeye ndo front end hajui anashangaa tu watu hawa hapa wanamuomba atoke, basi tatizo si usingle mother wa huyo mkewe. Hata asingekuwa single mother angekuja mchepuko akapachikwa jina la mjomba na angeombwa kupisha waongee.
 
Kitendo cha kuombwa atoke it means ni mtu ambaye mkewe yupo in control. Mke hana hofu ya kumpoteza. Na tatizo lipo hapo, si kwenye usingle mother wa huyo mkewe.

Kwani nikuulize mkuu, umezaa na mwanamke, mimi nikamuoa, ameugua, ukaja hospitali na mtoto wenu kuja kumsabahi, kwanini napaswa kukuhofia?

kwa sababu umekuja hospitali sasa unaweza mshawishi akurudie?

au kwa sababu mke wangu akikutana na wewe lazima akutanulie miguu?
Haihusiani na usaliti wala hofu yoyote. It's simply disrespectful kumwambia mume atoke ili aongee na ex wake. Kama kuna mtu alitakiwa kutoka basi ni huyo ex angeacha watoto atoke kisha aje awachukue wakishasalimiana na mama yao
 
Exactly, sasa tatizo si kuambiwa utoke wala tatizo si kuwa mkeo ana mtoto. Tatizo ni wewe kuwa mgeni wa taarifa za mkeo.

Kikawaida, ugeni mkubwa kama huo unaohitaji faragha ulipaswa kuwa na taarifa nao hata kabla wageni wenyewe hawajapata taarifa kuwa mkeo yupo wodi namba ngapi na pengine ungekuwa unajua kwanini utawapa nafasi waongee.

Kitendo kuwa wamefika bila uhusika wako it means shida uliyo nayo haitatuliki kwa kuendelea kukaa hapo kwamba unalinda sijui nini.
 
Tatizo halisi ni hofu ya kugongewa. We uliza tu, hapo kinachoogopwa ni nini? Wanaume huru ni wale wasio na hofu juu ya mwanamke ila wanawake zao ndo wenye hofu juu yao.
Wewe jamaa mbona unaandika ujinga. Sasa hospotali mwanamke amelezwa kweli katika mazingira hayo utahofia kugongewa. Kwenye hiyo scenerio somo kubwa ni dhiaka aliyofanyiwa jamaa kuambiwa atoke ili mkewe apate faragha ya kuongea na X wake
 
Ndo upumbavu wenyewe huo. Nini maana ya kuwa na mke ikiwa ana familia yake nyingine pembeni
Hiyo familia nyingine pembeni si kwa sababu ya uzazi mwenza, hata asingekuwa na watoto akaja kama mchepuko, bado itabidi uwapishe tu sababu huna control ya mahusiano yako ni mchepuko ndo ana control ndo maana ameweza kufika hapo bila ya ufahamu wako na huna details za wanachotaka kujadili. Kung'ang'ania kukaa nao hapo hakutatui lolote, we wapishe tu.
 
Wewe jamaa mbona unaandika ujinga. Sasa hospotali mwanamke amelezwa kweli katika mazingira hayo utahofia kugongewa. Kwenye hiyo scenerio somo kubwa ni dhiaka aliyofanyiwa jamaa kuambiwa atoke ili mkewe apate faragha ya kuongea na X wake
Dhihaka si kuomba uwapishe. Tumia akili. Hata ikikutokea wewe ambaye umeoa bikra ukashangaa una ugeni unaohitaji faragha, wapishe tu maana tayari.
 
Hiyo familia nyingine pembeni si kwa sababu ya uzazi mwenza, hata asingekuwa na watoto akaja kama mchepuko, bado itabidi uwapishe tu sababu huna control ya mahusiano yako ni mchepuko ndo ana control ndo maana ameweza kufika hapo bila ya ufahamu wako na huna details za wanachotaka kujadili. Kung'ang'ania kukaa nao hapo hakutatui lolote, we wapishe tu.
Kiwango chako cha usimp ni cha level ya juu sana
 
Kiwango chako cha usimp ni cha level ya juu sana
Hahaha, watu kama wewe mkeo anaweza hata kuletea mtoto feki na usijue sababu unadhani udhibiti unakuja na misimamo. Utalea watoto wa wenzako ukiwa na misimamo mikali mno iwapo mkeo atakuzidi akili.
 
Single mothers wamemind, naona tu uongo, fictious nk.
Poleni sana...😁
 
Mkuu, Binafsi nimeshuhudia baadhi ya mahusiano mpaka ndoa, and trust me, mwanaume mwenye amani ni anayebahatisha mwanamke mwenye msimamo bila kujali msimamo wake umesababishwa na nini.
Wengine woooote hakuna mwenye afadhali.
Msimamo uliosababishwa na kutiwa mimba na kukimbiwa, mm huo siutaki
 
Back
Top Bottom