Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Kwendraaa!🚮Single mothers wamemind, naona tu uongo, fictious nk.
Poleni sana...😁
Kwendraaa!🚮Single mothers wamemind, naona tu uongo, fictious nk.
Poleni sana...😁
Aisee hahaaaaaaTupishe kidogo ni sawa tu ameambiwa Toka nje nibadilishe nguo.
Kumbe nawe ni miongoni mwao?Kwendraaa!🚮
We unaonaje?Kumbe nawe ni miongoni mwao?
Kwamba anawasagia kunguni watu?Fictious story.
SioniWe unaonaje?
Story sio halisi, matahira mengi yanaamini, kikubwa singo maza kabezwa ndio yanapata haja!Kwamba anawasagia kunguni watu?
Wewe ukilewa hatukuachi peke yako.Utafanya vituko.Hata kama ni mimi kwanza ningekunywa mtori wote wa mgonjwa alafu ndio natokomea.... Eti tupishe kidogo 🤣🤣🤣🤣
Mimi nawapenda sana singo maza.Wananitaarifu kwamba wana mayai hawakukaangia chipsi.Story sio halisi, matahira mengi yanaamini, kikubwa singo maza kabezwa ndio yanapata haja!
Wewe ndio unawapenda, wenzio wanawataka kina wema, no strings attached, kila mgeni atakaa..Mimi nawapenda sana singo maza.Wananitaarifu kwamba wana mayai hawakukaangia chipsi.
Napenda mechi ianze nimepigwa 2 mtungi ili nijikakamue kumzidi mume mwenza.Wewe ndio unawapenda, wenzio wanawataka kina wema, no strings attached, kila mgani atakaa..
We penda kwa mapenzi ila sio kwa situation tu!Napenda mechi ianze nimepigwa 2 mtungi ili nijikakamue kumzidi mume mwenza.
hata kama ni fiction ila nimependa hayo maamuzi aliyofanyaFictious story.
I love it and have done it all!We penda kwa mapenzi ila sio kwa situation tu!
Najua unachangamsha genge tu hapa, or else huwa unapita tu shwaa! Hakuna mwanaume anapenda mom of 2😆I love it and have done it all!
Believe it or don't! It's done!Najua unachangamsha genge tu hapa, or else huwa unapita tu shwaa! Hakuna mwanaume anapenda mom of 2😆
WAZAZI HAWAACHANI KAMWE BALI HUTENGANA TU,KWENYE SHIDA KUBWA HUWASILIANA NA KUJULIANA MALI,HAPA NDIPO UGUMU ULIPO!...Anakasirika nini na ni maongezi ya kifamilia? Japo hadithi imekaa kama uongo.