Akimbia Hospitali baada ya mkewe ‘singo maza’ kutembelewa na mzazi mwenzie

Msimamo uliosababishwa na kutiwa mimba na kukimbiwa, mm huo siutaki
Hizi ni principle za maisha sasa kutegemeana na unacholinda kisikupate. Upo sahihi kabisa unless unacholinda kisikupate hakina uhusiano na kupachikwa mimba na kukimbiwa.
 
Kaka mmoja hapa mtaani alioa mwanamke mwenye Watoto Wawili wa Baba Mmoja, huyo mwanamke Aliachana Na MUME Wake kipindi Watoto Wakiwa Wakubwa tayari wameanza shule, baada ya kuachana na mume wake Akaolewa Na huyu kaka wa hapa mtaani, kaka ana pesa Kiasi.

Jana Mke Kaumwa Sana ikapekea akalazwa Hospital , akiwa hospital Akampa Taarifa Mzazi Mwenzake (yule waliyeachana) Kisha Mzazi mwenzake Akaenda Na Watoto Hospital Kumjulia Hali pale hospital.

Mume Wake Alijiskia Vibaya Sana kuona Yule Mwanaume anamtembelea mke wake, Mke Akamwambia Mume Wake Naomba Utupishe Kidogo Nina Maongezi Na Mzazi Mwenzangu, kaka Alitoka Nje na Hakurudi Tena Pale Hospital, Hadi Leo na inasemekana kaka Kaenda Dar es Salaam na Hana mpango WA kurudi Tena mana hapa mtaani haonekani tena.

My Take
Kama una roho ndogo usioe singo maza, utatusumbua wana Jamiiforums
Nia yako ni kuongeza moto kwenye mchuano wa kupiga vita single mothers? Si kwa uchonganishi huu.
 
Kaka mmoja hapa mtaani alioa mwanamke mwenye Watoto Wawili wa Baba Mmoja, huyo mwanamke Aliachana Na MUME Wake kipindi Watoto Wakiwa Wakubwa tayari wameanza shule, baada ya kuachana na mume wake Akaolewa Na huyu kaka wa hapa mtaani, kaka ana pesa Kiasi.

Jana Mke Kaumwa Sana ikapekea akalazwa Hospital , akiwa hospital Akampa Taarifa Mzazi Mwenzake (yule waliyeachana) Kisha Mzazi mwenzake Akaenda Na Watoto Hospital Kumjulia Hali pale hospital.

Mume Wake Alijiskia Vibaya Sana kuona Yule Mwanaume anamtembelea mke wake, Mke Akamwambia Mume Wake Naomba Utupishe Kidogo Nina Maongezi Na Mzazi Mwenzangu, kaka Alitoka Nje na Hakurudi Tena Pale Hospital, Hadi Leo na inasemekana kaka Kaenda Dar es Salaam na Hana mpango WA kurudi Tena mana hapa mtaani haonekani tena.

My Take
Kama una roho ndogo usioe singo maza, utatusumbua wana Jamiiforums
Stori za kutunga hizi
 
Ndo maana nikasema hakupaswa kuombwa kutoka, sababu yeye ni back end, hata akitoka, hana hofu na front end sababu anajua vyote vitakavyoendelea si vya kutia mashaka, mzazi mwenza wa mkewe ni front end anaona display tu.

Sasa kama yeye ndo front end hajui anashangaa tu watu hawa hapa wanamuomba atoke, basi tatizo si usingle mother wa huyo mkewe. Hata asingekuwa single mother angekuja mchepuko akapachikwa jina la mjomba na angeombwa kupisha waongee.
Ni sahihi, nimekuelewa mkuu.
 
Kaka mmoja hapa mtaani alioa mwanamke mwenye Watoto Wawili wa Baba Mmoja, huyo mwanamke Aliachana Na MUME Wake kipindi Watoto Wakiwa Wakubwa tayari wameanza shule, baada ya kuachana na mume wake Akaolewa Na huyu kaka wa hapa mtaani, kaka ana pesa Kiasi.

Jana Mke Kaumwa Sana ikapekea akalazwa Hospital , akiwa hospital Akampa Taarifa Mzazi Mwenzake (yule waliyeachana) Kisha Mzazi mwenzake Akaenda Na Watoto Hospital Kumjulia Hali pale hospital.

Mume Wake Alijiskia Vibaya Sana kuona Yule Mwanaume anamtembelea mke wake, Mke Akamwambia Mume Wake Naomba Utupishe Kidogo Nina Maongezi Na Mzazi Mwenzangu, kaka Alitoka Nje na Hakurudi Tena Pale Hospital, Hadi Leo na inasemekana kaka Kaenda Dar es Salaam na Hana mpango WA kurudi Tena mana hapa mtaani haonekani tena.

My Take
Kama una roho ndogo usioe singo maza, utatusumbua wana Jamiiforums
Pigia mstari mwekundo Kisha picha ☠️☠️☠️☠️ mbele andika single mothers is down payment without anything else to yourself
 
Back
Top Bottom