I love this answer. Kwanza kakupa bill ndogo...ulikuwa unatakiwa utoe pesa ya taxi (au ya mafuta kama anadrive) pesa ya lingeries, kucha kope etc....msione vyaelea vimeundwa.
na nyie mnafikiri sisi ni sex providers au?
We umeombwa pesa ya saloon unapiga kelele namna hy, Je ukiombwa kodi ya nyumba ya mwaka si utakimbia! Tafuta Mchumba uoe.. ACHA UZINZI dogo...
hiyo ndiyo siwezi kugusa kabisaaaa...kodi ya nyumba....????We umeombwa pesa ya saloon unapiga kelele namna hy, Je ukiombwa kodi ya nyumba ya mwaka si utakimbia! Tafuta Mchumba uoe.. ACHA UZINZI dogo...
sasa kama ningempa hiyo hela ya saluni halaf akasepa huoni kama ningekula hasara mara2? yaani lunch na saluni......ilitakiwa nimmege halaf ndio nimpe hela ya saluni, siyo hata kitu sijagusa eti nigharamie saluni....hapo sipo kabisa.....Wewe kinachokusumbua ni ubahiri au kutokuwa nazo. Lazima kwanza ujiulize huyo binti wakati umemkaribisha lunch alipokuja amependeza na ukamtamani, hujui wenzako hapo wamegharimia? Kwa nini wewe ushindwe na wewe kumpendezesha na wenzako wamtamani?
hapo na mimi ndiyo nashangaa, kama raha tunapata wote sasa ya nini kumuumiza mtu mmoja tu kwa gharama? ingependeza kama tungekuwa na gender equality hata kwenye mambo ya kunanihiii...yaani kila mtu achangie gharama. kama nikichangia guest na yeye achangie hata lunch au vice versa!!!!!kwani sex nafanya na ku-enjoy peke yangu bana!!!?it takes two to f.....ango!
100% acceptable nikipigwa mizinga baada ya ka-muda fulani, siyo eti very soon baada ya outing ya lunch unaongezea na mzinga wako, ina maana tusingekutana usingekarabati hizo nywele zako? inaboa kwa kweli!!!!!
I love this answer. Kwanza kakupa bill ndogo...ulikuwa unatakiwa utoe pesa ya taxi (au ya mafuta kama anadrive) pesa ya lingeries, kucha kope etc....msione vyaelea vimeundwa.
hiyo ndiyo siwezi kugusa kabisaaaa...kodi ya nyumba....????
atoe kodi ya nyumba kwani ye mwajiri!!?.........usitoe mdogo wangu unless umekutana na mjasiria-mwili na unadhani utapata thamani ya pesa unayotumia kwa huduma tarajiwa,huh!
Atoe kwanza gem ndio apate ya saloon based on her performanceWe umeomba gemu ila ulivyoombwa hela ya saluni imekuwa sheshe
Atoe kwanza gem ndio apate ya saloon based on her performance
sasa hata kama ni kuoa si lazima uonje kwanza? unaweza ukaoa ukashangaa unakuta mtu ana tundu la kukojolea tu....utafanya rewind? ndio nasema lazima kwanza uonje...Kama huwezi, Tafuta mchumba UOE....
Mi sipendi kabisa..Unakutana na mdada, mnafahamiana kidogo, mnapeana namba za simu, mnapanga one day mkutane mpate lunch, mnakutana na mnapata lunch, then mnapanga one day mkutane kufumua amri ya sita......Mara demu anakueleza,....oh...sitaki nije na hizi nywele kesho, hivyo naomba unipe hela ya saluni...Yaani hata hatuja-do, unataka nikupe hela ya saluni...umeona mi n ATM machine?! acheni hizo bana mnatuboa!
Ukionekana demu wa mizinga mwanzoni kabisa mwa mahusiano unaboa sana na unajidhalilisha. Kwa nini usijizuie mpaka mida fulani ndio uanze hiyo mizinga?! Mi ukianza na mizinga nakupiga chini! Acheni hizo madada, mnatuboa mno!!
hajibebi mtu bana,na 'mnapigika' kama kawa vile vile!tatizo hutu tu sharobaro mnatokutana nato calabash tumeshika black berry tatu za kichina na funguo za ki-bebi woka afu kananukia zile pafyum walizochakachua migomigo ndo tunatoharibu kwa kujaribu maisha ya kwenye L Mujer Der Mi Vida(dah,sijui hata ipi inabamba siku hiz).we unauziwa neno tu,unafika bei mwenyewe na with time unachapika na maisha yanaendelea kila mtu akiwa na heshima yake,yani freshi tu!
hahahahahahaa nimecheka hadi basi....too true