Akina dada acheni hizo bana! Mnaboa sana sometimes!

Yaani wanashangaza sana! hivi hawa madada huwa hawana washauri? naona kama huwa wanakuupuka halaf wanakosa kila kitu!....na mimi aliponiambia hivyo, nilimpiga chini immediately bila kujishauri mara mbili....

Bora mkose wote yan wew unataka umchakachue mwenzio kwanza alf utimue kabla hujatoa hayo mahela? Hudumia kwanza then matunda utayaona.
 
Mi sipendi kabisa..Unakutana na mdada, mnafahamiana kidogo, mnapeana namba za simu, mnapanga one day mkutane mpate lunch, mnakutana na mnapata lunch, then mnapanga one day mkutane kufumua amri ya sita......Mara demu anakueleza,....oh...sitaki nije na hizi nywele kesho, hivyo naomba unipe hela ya saluni...Yaani hata hatuja-do, unataka nikupe hela ya saluni...umeona mi n ATM machine?! acheni hizo bana mnatuboa!
Ukionekana demu wa mizinga mwanzoni kabisa mwa mahusiano unaboa sana na unajidhalilisha. Kwa nini usijizuie mpaka mida fulani ndio uanze hiyo mizinga?! Mi ukianza na mizinga nakupiga chini! Acheni hizo madada, mnatuboa mno!!

Hcho ki lunch chako ki1 ndo unataka ukalambe asal unachekesha wew.
 
hawa watu me ndo nawaweza,nina technic kali sana za kuwamega bila hta senti5,mwisho wa siku me ndo napewa mkwanja nikapige supu!
Na ikitokea nimemdakisha kwanja kabla,trust me ipo siku ataurudisha mara 10 yake
 
100% acceptable nikipigwa mizinga baada ya ka-muda fulani, siyo eti very soon baada ya outing ya lunch unaongezea na mzinga wako, ina maana tusingekutana usingekarabati hizo nywele zako? Inaboa kwa kweli!!!!!

hivi ukiwa unamwambia mkutane kuvunja amri ya 6, unamwambiaje ati, huyu ambaye umejitolea kumlisha chakula cha mchana?
 
nawewe pia una haraka sana yaan KUMPA LUNCH TU NA KUOMBA GAME APO APO?
wewe pia ulikaa kigamae game tu na si mapenz thats y na yeye akaona bora apress plafoma mapema...yaan ukaona pesa ya lunch inatosha kabsa aende KUILIPIA?

ungeuchuna kdg ....uliwaisha kuomba game na yeye akaawaisha kukuomba pesa....

kula uliwe
 
kumbe sababu katoa kabisa! we ungempa siku akitia timu unathaminisha hizo nywele na hela uliompa
kama havilingani unadai chako kilichobaki.
 
Mi sipendi kabisa..Unakutana na mdada, mnafahamiana kidogo, mnapeana namba za simu, mnapanga one day mkutane mpate lunch, mnakutana na mnapata lunch, then mnapanga one day mkutane kufumua amri ya sita......Mara demu anakueleza,....oh...sitaki nije na hizi nywele kesho, hivyo naomba unipe hela ya saluni...Yaani hata hatuja-do, unataka nikupe hela ya saluni...umeona mi n ATM machine?! acheni hizo bana mnatuboa!
Ukionekana demu wa mizinga mwanzoni kabisa mwa mahusiano unaboa sana na unajidhalilisha. Kwa nini usijizuie mpaka mida fulani ndio uanze hiyo mizinga?! Mi ukianza na mizinga nakupiga chini! Acheni hizo madada, mnatuboa mno!!

We mbona umeomba kumfiligisa kakukubalia alafu kutoa kaela ka nywele tu unalia.Unajua mademu nao wajanja kama ulivyokua we fasta kuomba mzigo na wao wapo fasta kukuchuna wanajua sana mapenzi ya namna hiyo yana life span ndogo so atajivunia nin mkiachana.Na wewe ulikosea ulijiweka ki 'K' oriented sana.
 
Mi sipendi kabisa..Unakutana na mdada, mnafahamiana kidogo, mnapeana namba za simu, mnapanga one day mkutane mpate lunch, mnakutana na mnapata lunch, then mnapanga one day mkutane kufumua amri ya sita......Mara demu anakueleza,....oh...sitaki nije na hizi nywele kesho, hivyo naomba unipe hela ya saluni...Yaani hata hatuja-do, unataka nikupe hela ya saluni...umeona mi n ATM machine?! acheni hizo bana mnatuboa!
Ukionekana demu wa mizinga mwanzoni kabisa mwa mahusiano unaboa sana na unajidhalilisha. Kwa nini usijizuie mpaka mida fulani ndio uanze hiyo mizinga?! Mi ukianza na mizinga nakupiga chini! Acheni hizo madada, mnatuboa mno!!
Yani huyo mdada kanifurahisha sana,kumpa tu lunch sio kigezo cha wewe kupewa utamu,wewe usingemkuta amependeza wala usingemtamani unafikiri yuko vile bila hela kutumika,wewe lunch tu unataka!mpendezeshe kwanza zaidi ya pale uone kama hajakupa mwenyewe bila hata kuomba!
 
Nendeni mkawatafute vilaza wenzenu! Yaani we ukimbilie game alafu ye akushangilie tu?? Kizembe hivyo? Thubutu! Unataka kuniambia ye hizo dalili za kuombwa game mapema ivo, hajazistukia? Kalale!
 
leo nimecheka mpaka basi,du,kaaaaaaaaazi kweli kweli,kuzindua penzi hahahahahaha new terminology nimejifunza leo,lo!
 
Umenichekesha kweli we mtoa mada, we kalunch kamoja tu unataka mzigo? amekupatia kweli huyo mdada nimeipenda hiyo
 
Mi sipendi kabisa..Unakutana na mdada, mnafahamiana kidogo, mnapeana namba za simu, mnapanga one day mkutane mpate lunch, mnakutana na mnapata lunch, then mnapanga one day mkutane kufumua amri ya sita......Mara demu anakueleza,....oh...sitaki nije na hizi nywele kesho, hivyo naomba unipe hela ya saluni...Yaani hata hatuja-do, unataka nikupe hela ya saluni...umeona mi n ATM machine?! acheni hizo bana mnatuboa!
Ukionekana demu wa mizinga mwanzoni kabisa mwa mahusiano unaboa sana na unajidhalilisha. Kwa nini usijizuie mpaka mida fulani ndio uanze hiyo mizinga?! Mi ukianza na mizinga nakupiga chini! Acheni hizo madada, mnatuboa mno!!
Wewe ni "Mtego wa Noti", umeshachapwa lunch, vocha nazo lazima, nauli za taxi vilevile, muda ndio usihesabu....! hayo yote hata promise huna, halafu unalalama kuwa wewe sio ATM, na wakati umeshazidi hiyo ATM.....! Mbona sikuelewi?
 
hawa watu me ndo nawaweza,nina technic kali sana za kuwamega bila hta senti5,mwisho wa siku me ndo napewa mkwanja nikapige supu!
Na ikitokea nimemdakisha kwanja kabla,trust me ipo siku ataurudisha mara 10 yake

du,ebanae!
 
mi sipendi kabisa..unakutana na mdada, mnafahamiana kidogo, mnapeana namba za simu, mnapanga one day mkutane mpate lunch, mnakutana na mnapata lunch, then mnapanga one day mkutane kufumua amri ya sita......mara demu anakueleza,....oh...sitaki nije na hizi nywele kesho, hivyo naomba unipe hela ya saluni...yaani hata hatuja-do, unataka nikupe hela ya saluni...umeona mi n atm machine?! Acheni hizo bana mnatuboa!
Ukionekana demu wa mizinga mwanzoni kabisa mwa mahusiano unaboa sana na unajidhalilisha. Kwa nini usijizuie mpaka mida fulani ndio uanze hiyo mizinga?! Mi ukianza na mizinga nakupiga chini! Acheni hizo madada, mnatuboa mno!!
wewe ni mpuuuzi kweli kweli
 
mimi ata sina wasiwasi,akisema ela ya saluni nampa ila nikianza kumega,namega kila siku hadi nywele zinachakaa.
 
Starehe gharama dogo, unataka kula mzigo wa bure? Hata ndani ya ndoa tunalipia, kila siku mchango wa meza unaujua ww?
 
yani nyie wanaume mnachekesha sana minaona hapo ni fifty fifty cz we umeomba game ye kaomba hela ungempa halafu nawe unamwambia shida yako,jaribu kutumia hata lugha nzuri labada my dr leo naomba tukapumzike sehemu,so we moja kwa moja game mh?mi mwenyewe ntashtuka na kujiuliza ni ile lunch au kuna kingine.

TAKE CARE AIDS
 
jeshi langu liko lupango? haiwezekani banaa

Mi nilikutana na mmoja yupo baa na jamaa yake mara jamaa alipoenda CHOONI TU NIKAOMBA jamaaa walioagana nami nikampigia
tukahamia sehemu nyingine .Lakini akaniambia huwa yeye analipiwa nikajua ni changu tu kumbe ni demu tu ambae amezoea hiyo michezo.
 
Back
Top Bottom