Hakunaga 4nce
Member
- Jun 10, 2011
- 36
- 5
Yaani wanashangaza sana! hivi hawa madada huwa hawana washauri? naona kama huwa wanakuupuka halaf wanakosa kila kitu!....na mimi aliponiambia hivyo, nilimpiga chini immediately bila kujishauri mara mbili....
Bora mkose wote yan wew unataka umchakachue mwenzio kwanza alf utimue kabla hujatoa hayo mahela? Hudumia kwanza then matunda utayaona.