Chief Kumbyambya
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 719
- 2,408
Tunatoga namba tu ila utapiga mwenyewe na utapokea
Mwenyewe
Mimi natoa namba sana nakudanganya na jina ukipiga ukasema ni wewe ndio hutokaa uone napokea simu yako ama kujibu sms
Alitoa namba uache kumsumbua, maana mnajuaga kuganda mtu mkiwa mnataka namba. Hapo ushaseviwa 'usipokee 3'Baada ya stori mbili tatu ukaombwa namba na umetoa mwenyewe bila kushikiwa kisu, manati wala bunduki, lakini cha ajabu ni wiki ya pili sasa simu hujawahi kupokea hata siku moja na ikipigwa inaita vizuri tu. Meseji ndo kabisaa kama huzioni vile. Sasa ulikua unatoa namba ya nini?
Kama hapokei tupia ka muamala then usimtafute uone kama hatokutafuta na sorry kama zoteBaada ya stori mbili tatu ukaombwa namba na umetoa mwenyewe bila kushikiwa kisu, manati wala bunduki, lakini cha ajabu ni wiki ya pili sasa simu hujawahi kupokea hata siku moja na ikipigwa inaita vizuri tu. Meseji ndo kabisaa kama huzioni vile. Sasa ulikua unatoa namba ya nini?
Hilo ndo tatizo la sisi waafrica ya kufanya jambo kwa kuogopa macho ya watu.Tunatoga namba tu ila utapiga mwenyewe na utapokea
Mwenyewe
Kuna mazingira mtu unaona aibu kumnyima mtu namba ila tunawakomesha mkianza kututafuta..
Mimi natoa namba sana nakudanganya na jina ukipiga ukasema ni wewe ndio hutokaa uone napokea simu yako ama kujibu sms na sikublock utaacha wewe kunitafuta
Acheni kuombaomba namba yaani mtu amekuchekea kidogo ushaomba namba hii tabia inakera unajikuta kwa mwezi umegawa namba kwa watu wengi utazani unaomba kazi [emoji849]
Tunatoga namba tu ila utapiga mwenyewe na utapokea
Mwenyewe
Kuna mazingira mtu unaona aibu kumnyima mtu namba ila tunawakomesha mkianza kututafuta..
Mimi natoa namba sana nakudanganya na jina ukipiga ukasema ni wewe ndio hutokaa uone napokea simu yako ama kujibu sms na sikublock utaacha wewe kunitafuta
Acheni kuombaomba namba yaani mtu amekuchekea kidogo ushaomba namba hii tabia inakera unajikuta kwa mwezi umegawa namba kwa watu wengi utazani unaomba kazi [emo
muwe mnakataa hapohapo huo nao ni ushamba tu! tatizo hamjui hata maana ya mawasiliano, kitendo cha kutoa namba tayari ni step mojawapo kukubali mawasiliano asa nn kisababishe usipokee basi tuwaache wenyewe muishi duniani kujamiiana ni muhimu kwa viumbe hai japo isiwe anasa tuTunausemi wetu “atatafuta wa kumpokelea “
😂😂 Si ndio !Kuwa na shukrani wewe, uliomba namba ukapewa, sasa umeanza gubu🤣🤣🤣
Hawana shukrani hawa viumbe.😂😂 Si ndio !
Si usubiri ujibiwe au upigiwe?Baada ya stori mbili tatu ukaombwa namba na umetoa mwenyewe bila kushikiwa kisu, manati wala bunduki, lakini cha ajabu ni wiki ya pili sasa simu hujawahi kupokea hata siku moja na ikipigwa inaita vizuri tu. Meseji ndo kabisaa kama huzioni vile.
Sasa ulikua unatoa namba ya nini?
Ndo maana ule wa Kanda pendwa alikuona hamnazo kwa akili zako hiziTunatoga namba tu ila utapiga mwenyewe na utapokea
Mwenyewe
Kuna mazingira mtu unaona aibu kumnyima mtu namba ila tunawakomesha mkianza kututafuta..
Mimi natoa namba sana nakudanganya na jina ukipiga ukasema ni wewe ndio hutokaa uone napokea simu yako ama kujibu sms na sikublock utaacha wewe kunitafuta
Acheni kuombaomba namba yaani mtu amekuchekea kidogo ushaomba namba hii tabia inakera unajikuta kwa mwezi umegawa namba kwa watu wengi utazani unaomba kazi [emoji849]
Save Namba then mwache ht ya bucket 3 uone matokeoBaada ya stori mbili tatu ukaombwa namba na umetoa mwenyewe bila kushikiwa kisu, manati wala bunduki, lakini cha ajabu ni wiki ya pili sasa simu hujawahi kupokea hata siku moja na ikipigwa inaita vizuri tu. Meseji ndo kabisaa kama huzioni vile.
Sasa ulikua unatoa namba ya nini?