Demu naemtongoza siku ya kwanza huyo nakuwa hata sina mpango nae labda yeye tu akibali sitamuacha, Huwa wapo wanaokubali nawala ila lengo huwa wakatae ili tusipotezeane mida na hela maana akikubali naomba mzigo, akikataa poa tu ndo imeisha iyo na yeye hataomba hela maana namba yangu hana.
Mwanamke ambaye amechukua attention yangu huyu hata sita muomba namba yaani nachokifanya ni kuitoa simu kwenye equation tunarudi karne ya 20 hakuna simu za mkononi na mambo yanaendelea vizuri tu, labda yeye ndo atake namba yangu ila mimi siombi namba kabla sijakubaliwa.